Nape kuendelea kutetea matumizi mazuri ya rasilimali za nchi!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Nape amedai ataendelea kutetea matumizi mazuri ya Rasilimali za Taifa!Kadhalika,kuna baadhi ya watu matajiri hawapendezwi na jitihada zake na wamepanga kumchafua!
Jamani mie Mkweche mnisaidiage mwenzenu kwani,mpaka dakika hii sijaona hizo jitihada zake za kutetea rasilimali za nchi!
 
Back
Top Bottom