Nape & Kibonde live on Clouds tv

wajinga ndio waliwao. nape bado anaamini kuna ccm? Mi jana niliona vipande tu vya ccm.
 
Duuuu kweli watu mnamoyo kuisikiliza clouds ni sawa na kumwangalia jk kwenye tv natapika!
You have a talent to make others laugh...have you thought of Comedy??... Maana tangu The comedy ya Masanja wajiunge CCM wanachemsha.
 
Vilaza wawili wamekutana unategemea nini kama si pumba na kuongea hadithi za kusadikika. Wanajarobu kutushawishi wasikilizaji kuwa wao upeo wao ni mkubwa na wa kipekee ...
 
Siku Cardinary Pengo Akisilimu,Clouds FM watamsifu Sugu.Siku Sheikh Mkuu,Mufti Issa Shaaban Bin Simba Akiongoka na Kuingia Kanisa Katoliki,Clouds Watamtukuza na Kumkubali Sugu.So sisi Wapenzi wa Sugu Tunaomba sana Mufti aingie Kanisa Katoliki na Pengo aingie Uislam,hata sekunde mbili tu!!!
 
Jamani huu muda mnaotumia kuwasikiliza vibonde si ni bora mngeenda kwenye makazi ya orphans kufanya huduma za jamii kama usafi (kufagia), kupangusa vioo/madirisha. Naamini wangeshukuru mara elfu moja kwa huduma hiyo.
 
Back
Top Bottom