Nape, kauli zako ni kula matapishi yako mwenyewe!!!

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
wakuu!
Miongoni mwa kauli nilizozishangaa sana katika mkutano wa CCM ni pale Nape Nauye alipofananisha wanachama wa CCM waliorudisha kadi zao na kujiunga na CDM kuwa ni oil chafu. kwa maneno yake Nape alisema kwa mafumbo

"eti mtu unafika mahali unapaki gari yako na kufanya service, unamwaga oil na kuweka nyingine, anakuja mtu anakinga oil chafu unatishika, mwache achukue hiyo chafu"

Kisha baada ya muda kidogo Nape huyo huyo akaongoza "wanachama wa vyama vya upinzani" kurudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM, kwa maneno mengine AKAKINGA OIL CHAFU KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI.

Hapa Nape amekula matapishi yake mwenyewe....

wakuu!
Miongoni mwa kauli nilizozishangaa sana katika mkutano wa CCM ni pale Nape Nauye alipofananisha wanachama wa CCM waliorudisha kadi zao na kujiunga na CDM kuwa ni oil chafu. kwa maneno yake Nape alisema kwa mafumbo...
He is among the hopeless person ambaye sikuwahi kumsikia wala kumuona,atakuwa kichaa wampeleke kwa makungwi waliokuwa wakichombeza maneno siku ya mkutano wake na chama cha mafisadi ili wamfunde maana yeye na hao wanawake wanafana kwa maneno machafu.
 
kwanza wanachma gani aliowapata toka upinzani wale wenye kadi empty za chadema??

pili nape ni vuvuzela anaongeaga chochote kinachopita kichwani akija kuzeeka atakua kama makamba
 
kwanza wanachma gani aliowapata toka upinzani wale wenye kadi empty za chadema??

pili nape ni vuvuzela anaongeaga chochote kinachopita kichwani akija kuzeeka atakua kama makamba

Nisahihi kabisa unachokisema ndo mana hata katika wanachama wa vyama vya upinzani nikaweka fungua na funga semi "....." kuonyesha mashaka na kitu hicho...
 
he is among the hopeless person ambaye sikuwahi kumsikia wala kumuona,atakuwa kichaa wampeleke kwa makungwi waliokuwa wakichombeza maneno siku ya mkutano wake na chama cha mafisadi ili wamfunde maana yeye na hao wanawake wanafana kwa maneno machafu.

Nape anachosahau ni kuwa sasa hivi every single word in politics counts so much, na matokeo yake ni kukimbia mwangwi wa sauti yake mwenyewe.
 
Mimi nairejea falsafa yake ya KUMWAGA OIL CHAFU, hii mpya ameiweka lini?

Mimi nachoona watu wanatoka, sijaona aliyeingia kiasi aseme ameweka Oil mpya.

Huyu wasipomnusuru muda si mrefu atakuwa chizi. Kama kuna siku aliniacha hoi na nikaanza kumuonea huruma ni siku aliposema majengo yaliyokwisha kamilika pale Hospitali ya Mkoa wa Singida yaanze kutumika. Nahisi amechanganyikiwa mpk akasahau kuwa yeye sio waziri bali ni GAMBA RECRUITER
 
nape hana jipyaa,, waendelee kuiga kunya kwa tembo watachanika msamba mashishihem..
 
wakuu!
Miongoni mwa kauli nilizozishangaa sana katika mkutano wa CCM ni pale Nape Nauye alipofananisha wanachama wa CCM waliorudisha kadi zao na kujiunga na CDM kuwa ni oil chafu. kwa maneno yake Nape alisema kwa mafumbo....
Hahahahaha,

Nimeipeeenda sana hii mkuu.

Hii tunaiita "a logical inconsistency" inaonyesha huyu bwana anabwabwaja tu, hana mantiki wala principles.
 
napee aendelee kushusha heshima ya babake.. Hajui mzee wake ni mtu wa kuheshimika hapa nchini.. Amtunzie heshima yake aache kulopoka upuuzi wake na MASHUDU.. ALAFU NA VITOTO VINGINE VYA VIGOGO MBALI MBALI NA WATOTO WA WAZEE WASTAAFU WANAONGEA UPUUZ NA PUMBAA TUPU MASHUDU.. WANASHUSHA STATUS ZA WAZEE WAO!.. WAJIPANGE WATAJIBEBA..2015
 
Nimeangalia web site ya ccm, nimeona photos za viongozi wa chama, lakini Nape hayupo, kumbe jamaa ni vuvuzela tu!
Nilidhani kwa jinsi anavyochonga ana nafasi ya juu.
 
Nilisha sema mara nyingi nape anahitaji watu wa kumfundisha cha kuongea bila kujitega,bado ana huwezo mdogo wa kujenga hoja.
 
Iko haja ya kumwonea Huruma huyu kijana Nape si mzima huyu, mi nilimshauri USIMTUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO, na Nilimshauri asimalize maneno awe anabakisha mengine :majani7:
 
jaman uyu jamaa me nadhan atakuwa ameruka stage ya ukuaji , maana haiwezekan kila siku ye ndo anaongea pumba, siasa haiwezi bora aanze kulimo kwanza
 
wakuu!
Miongoni mwa kauli nilizozishangaa sana katika mkutano wa CCM ni pale Nape Nauye alipofananisha wanachama wa CCM waliorudisha kadi zao na kujiunga na CDM kuwa ni oil chafu. kwa maneno yake Nape alisema kwa mafumbo

"eti mtu unafika mahali unapaki gari yako na kufanya service, unamwaga oil na kuweka nyingine, anakuja mtu anakinga oil chafu unatishika, mwache achukue hiyo chafu"

Kisha baada ya muda kidogo Nape huyo huyo akaongoza "wanachama wa vyama vya upinzani" kurudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM, kwa maneno mengine AKAKINGA OIL CHAFU KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI.

Hapa Nape amekula matapishi yake mwenyewe....

KWANINI nyie wazito kielewa mambo ya wazi namna HII, hapa alimaanisha wanaotemwa Na Upinzani Yaani oil chafu Kwa Upinzani Kwa CCM ni super fresh oil, haina Hata chembe ya ubaya mwanakwetu, ni tukufu mnooooo, Na wataipokea faster Na kuipa hadhi ya juu sana, ila CCM wakikutema Basi Hata zile properties Za oil chafu zishapotea, uneshaharibika kiasi hujulikani kama ni mwanasiasa, jangili, bakaji, fisadi total hueleweki, Na atakae kuchukua direct anakwenda kukuweka Kwenye dust-bin Na kikuchomea mbali..
 
Back
Top Bottom