Nape: Katibu Mwenezi asiyejua Takwimu

jamani sisi vijana wakati mwingine tuache kumshambulia kijana mwenzetu kwani ameshasema cheo chake ni cha bandia sasa kama tunajua hivyo kosa si la nape ni la wakuu walioamua kumtumia kama spika wenyewe wamejificha
 
Nakushauri kanusha au kubali umekosea takwimu na urekebishe! Tofauti na hapo utadharauliwa daima. Kumbuka kazi unayofanya kila mtu anakutathmini. Unatakiwa kuwa makini sana na kauli zako.
wewe unaweza kusema hizo Takwimu zimekosewa vipi?
 
Wakuu mbona sioni tatizo hapo?
Ukizingatia vyama vilivyoshiriki,pesa zilizomwagwa,media coverage....
Ongezeko la asilimia tatu si proportional kabisa.
It's negligibly low.
Takwimu nyingi (ukiondoa za afya) +/- 5% huwa haihesabiki(degrees of freedom).
 
Back
Top Bottom