Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Jamani naomba mjumlishe hizo kura za kila m2 na zilizoharibika muone kama zitafika 52600 na kidogo walizosema kina magayane.
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"
Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha
Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha
Sawa na ongezeko la 2.7%
Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Jibu hoja KILAZA wee..!Acha kuongea MAKAPI.jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.

Kwa hiyoUchafu wa nepi ni mavi
Kwa hiyo
unamaanisha?
Ulipotoa matokeo j3 asubuhi,ukahojiwa na Tbccm,ukapinga kwamba kuna watu wanatumia Id yako,naomba nikuulize leo ni wewe,au umeibiwa Id yako?maana Mwenezi kama wewe kuongea upuzi kama huu.SHAME!jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"
Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha
Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha
Sawa na ongezeko la 2.7%
Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011
Kwani primary nako wanakamatwa?nimesoma nae, namjua vema... Alikuwa sifuri, ni mtu wa kuhonga walimu asikamatwe...
Nakushauri kanusha au kubali umekosea takwimu na urekebishe! Tofauti na hapo utadharauliwa daima. Kumbuka kazi unayofanya kila mtu anakutathmini. Unatakiwa kuwa makini sana na kauli zako.jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.