spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreatThinkers,
Hali ilikuwa tete sana pale Kirumba, Nape kakiona cha moto.
Wamejitahidi kuja na Green guard lakini maji yalizidi unga vile vile, kanda ya ziwa tunasema CCM hatuitaki kabisa muulizeni Nnape kazomewa hadi mitaani.
Labda unadhani ni Mwanza pekee, nenda na Shinyanga utauona Moto wa CDM, tokomea hadi Kahama hutorudi nakuambia.
Tumeshachoshwa na propaganda zenu, NA NA 2015 ni CDM NI FIRE PLUS.