Nape kabla ya kuja Arumeru tuombe radhi wachaga

ise selaaaaa? we mchga wa kigoma na mwanza dah? umeenda nunu kabila kama mjomba wenu ndosi aka mmasai feki? sasa leteni shobo huku sio igunga mtatujua machalie wa chug kama wahind waivohama babti na nyie mafisadi watapkimbi arumeru

ona unavyojianika chalii

kuna wengine ni wachaga wamezaliwa kigoma na mwanza hata uchagani hawakujui ila ni wachaga..deny!!! wanajua tu kusema 'makundu besa inga'
 
Wasira anawaelewa vizuri machalii
Wassira yupi....
huyu
images

au huyu

images

Mkuu inaonekana liliuma sana!

hata hivyo Nape mbona aliishapita huko mara nyingi tu

Licha ya hivyo unamwomba aombe radhi kipindi cha kura tu? kipindi kingine mnaruhusiwa mkitukanwa msiombwe radhi?

Mlijua marehemu atakufa na Nape atatakiwa kuja na hivyo ndiyo maana kipindi kingine hakumtaka aombe radhi!

Vipi na sisi wachaga wa Mbeya, Kigoma, Arusha, Igunga, mtwara na Mwanza.........???? ina maana kila mkoa aombe radhi!

This is too low for you, unaendekeza ukabila na gubu, na condition ulizotoa zinakudhalilisha na kuonyesha kuna uwezekano wa jambo 'lile' kuwa la kweli! usifiri wachaga wote wana akili kama zako, jamaa aliposema yale: aliharisha, akanuka amesahaulika huko!!! wewe unaenda kufukua kinyesi...unataka na wewe unuke..mpotezee!

futa hii thread inakudhalilisha wewe! unadhirisha kuwa ni kweli chama cha chadema ni cha wachaga wakati sio...au unasemaje?

cheeeeeers!
Waberoya kwanza habari za lupango nimesikia uliswekwa ndani pamoja na the dataz, punguzeni jazba.

Nape kama kiongozi mkuu wa chama alifanya a grave mistake kujiingiza kwenye siasa uchwara za ukabila ni sawa na kosa alilofanya Jussa juzi kusema walishindwa kwa vile kuna wakristo wengi Uzini. Huo upande aliochagua utamtafuna sana asipoangalia.

Namshauri atafute maneno ya kiutu uzima aombe radhi, wazee wa huku ni waelewa lakini kama ataendelea kukomaza shingo na kuchukulia ya kale si ndwele shauri yake, yeye ni kijana mdogo bado tuna safari ndefu sana naye, you know what!! you never know what will happen after 10 years to come.
 
Mkuu inaonekana liliuma sana!

hata hivyo Nape mbona aliishapita huko mara nyingi tu

Licha ya hivyo unamwomba aombe radhi kipindi cha kura tu? kipindi kingine mnaruhusiwa mkitukanwa msiombwe radhi?

Mlijua marehemu atakufa na Nape atatakiwa kuja na hivyo ndiyo maana kipindi kingine hakumtaka aombe radhi!

Vipi na sisi wachaga wa Mbeya, Kigoma, Arusha, Igunga, mtwara na Mwanza.........???? ina maana kila mkoa aombe radhi!

This is too low for you, unaendekeza ukabila na gubu, na condition ulizotoa zinakudhalilisha na kuonyesha kuna uwezekano wa jambo 'lile' kuwa la kweli! usifiri wachaga wote wana akili kama zako, jamaa aliposema yale: aliharisha, akanuka amesahaulika huko!!! wewe unaenda kufukua kinyesi...unataka na wewe unuke..mpotezee!

futa hii thread inakudhalilisha wewe! unadhirisha kuwa ni kweli chama cha chadema ni cha wachaga wakati sio...au unasemaje?

cheeeeeers!

Sasa mnaanza kuona aibu kwa kauli zenu hatarishi. Hata kama kutakuwa na wachaga wa mwanza, kigoma nk, tunasema amewadhalilisha. Mbona hao wachaga hawana ubaguzi kama huyo Nape alivyombinafsi. Sijawahi sikia mchaga anawasema vibaya makabila ya watu wengine. Lakini akina Nepi wanawashwa na hili kabila la wachaga na ukanda wa kaskazini. Sasa ngoma inakuja akawaombe kura sasa. Tunataka watu wa Arumeru wawaonyeshe CCM kuwa maneno waliyoongea yakuwachonganisha na watanzania wenzao hapo arumeru sio mahali pake. Kwanza akisoma hii threard ataona aibu.

Mvua ya mawe inawasubiri......kwa akina JOMBAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Nape hana haja ya kuomba radhi aliyoyasema ni UKWELI na ukweli mtupu! Besides, Arumeru si kwa wachaga!
 
Sipati picha huko Arumeru CCM watakuja na SERA gani mfilisi? Maana tumeshuhudia SERA No. 1 ya CCM ni UDINI (hasa ikilenga kupata kura za waislam. Refer Uchaguzi wa Igunga). Pia SERA namba 2 ya CCM ni Ukanda kwamba CDM ni chama cha watu wa Kaskazini). Huko Arumeru hizo SERA mbili za CCM haziuziki, sijui watakuja SERA gani?

Mafahali wawili hawakai zizi moja. Sijui Nape na Lowasa nani atazuiwa kwenda Arumeru Mashariki? If history has anything to go by, Mimi ninafikiri Nape atapigwa tena BAN kukanyaga Arumeru, kwani Lowassa anahitajika zaidi Arumeru kuliko Nape.

Hiyo ndiyo CCM, chama masilahi, hakuna hata msingi mmoja inaosimamia.
Tunawakaribisha CCM Arumeru wajiandae huku si Igunga kuwa watatumia polisi kuwatisha wapigakura sisi ndio tutakaowatisha polisi, na polisi wanalijua hilo. Tunaelewa Lowassa ameanza kumwaga pesa kama kawaida yake lakini aelewe pesa si kila kitu ataondoka kwa aibu na pesa zake.
 
Pesa ni adui hasa unapotumia pesa za shetani!ARUMERU OGOPENI HILO.WAZEE ARUMERU MKAE CHINI MKUMBUKENI MWL.NYERERE KWA KUKATAA PESA KUHARIBU NCHI YENU NZURI YENYE BARAKA ZAKE.KAMA MTARUHUSU KUPOKEA PESA HIZO HARAMU 'WALAHI' MTAHARIBU NCHI YENU KWA KIBOKO CHA LAANA.
 
Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga.

Vilevile unakumbuka maneno ya Mzee Mtei

Sasa nakuomba kwa ninavyowajua wachaga (machalii) kabla ya kuja kwenye kampeni Arumeru Mashariki ni busara ukawaomba radhi watu wa Kilimanjaro na Arusha.

Quinine.

We vipi? Kila mtu wa kaskazini ni mchaga? Meru na uchagani wapi na wapi. Arumeru ni kwa Wameru. Wachaga waki siha mpaka Tarakea. Wameru ni kabila lingine si wachaga.
 
Back
Top Bottom