Nape kabla ya kuja Arumeru tuombe radhi wachaga

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga.

"Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee kupitia chama chao nikakataa, kwa sababu siwezi kuhamia kwenye chama cha Wachagga, kile ni chama cha ukoo"

Vilevile unakumbuka maneno ya Mzee Mtei

Mtei: Nape ametutukana, amevivunjia heshima

Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei, amekaririwa akisema Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kwa kauli yake ya kuwa Chadema ni chama cha Wachaga kuwa kijana huyo amemvunjia heshima mbele ya jamii.

Mtei alisema kada huyo wa CCM amejivunjia heshima na kukosa adabu. "Kijana huyu Nape ametutukana kabisa, amejivunjia heshima na amekosa adabu. Kiongozi mwenye busara huwezi kutamka maneno kama haya," alisema Mtei.
Sasa nakuomba kwa ninavyowajua wachaga (machalii) kabla ya kuja kwenye kampeni Arumeru Mashariki ni busara ukawaomba radhi watu wa Kilimanjaro na Arusha.

Quinine.
 
sio nepi wa kufanya hayo! hivi kwanza wameshajenga! manake niliwahi kusikia kuwa baba yake hana hata choo
 
ccm waombe radhi?. aliyeweza kufanya hivyo ni regia mtema tu. atakachpkifanya na kuipinga kauli hiyo kwa nguvu zote kwamba hajawahi kutamka maneno kama hayo
 
Hivi safari hii Nape karuhusiwa kwenda kwenye Uchaguzi? Kama ni hivyo Lowassa hatashiriki!
Unajua viongozi wengine hawajui kuwa wako pale kwa ajili ya jamii wanafikiri ni kwa ajili yao, huwa hawafikirii kabisa impact ya kauli wanazotoa, sasa hapa kuna hatihati tena ya Katibu Mwenezi kutoruhusiwa ni aibu kwa kweli, kwanza hiyo kauli ya CDM ni ya wachanga ambayo wengi wao atakuwa anawaomba kura pili kusimama jukwaa moja na mtu wanayehasimiana kwenye vyombo vya habari, labda kama CCM wamefanya risk & cost assessment kuwa hata akienda faida ni kubwa kuliko kutokwenda. Lakini next time ajifunze kuropoka hovyo kunaweza kum-cost yeye na chama chake.
 
Kama Lowassa atashiriki ambapo hiyo ni likely Nape hatakwenda.
 
CCM hayana aibu yakiona uchaguzi mate huwa yanadondoka kama fisi aonavyo mfupa nani alijua JK atampigia kampeni RA au RA kwenda Igunga kwenye ukumbi ule ule alioutumia kuikandia CCM na kuanza kusema hakuna mama kama CCM.
 
Sipati picha huko Arumeru CCM watakuja na SERA gani mfilisi? Maana tumeshuhudia SERA No. 1 ya CCM ni UDINI (hasa ikilenga kupata kura za waislam. Refer Uchaguzi wa Igunga). Pia SERA namba 2 ya CCM ni Ukanda kwamba CDM ni chama cha watu wa Kaskazini). Huko Arumeru hizo SERA mbili za CCM haziuziki, sijui watakuja SERA gani?

Mafahali wawili hawakai zizi moja. Sijui Nape na Lowasa nani atazuiwa kwenda Arumeru Mashariki? If history has anything to go by, Mimi ninafikiri Nape atapigwa tena BAN kukanyaga Arumeru, kwani Lowassa anahitajika zaidi Arumeru kuliko Nape.

Hiyo ndiyo CCM, chama masilahi, hakuna hata msingi mmoja inaosimamia.
 
Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga.

Vilevile unakumbuka maneno ya Mzee Mtei

Sasa nakuomba kwa ninavyowajua wachaga (machalii) kabla ya kuja kwenye kampeni Arumeru Mashariki ni busara ukawaomba radhi watu wa Kilimanjaro na Arusha.

Quinine.

Mkuu inaonekana liliuma sana!

hata hivyo Nape mbona aliishapita huko mara nyingi tu

Licha ya hivyo unamwomba aombe radhi kipindi cha kura tu? kipindi kingine mnaruhusiwa mkitukanwa msiombwe radhi?

Mlijua marehemu atakufa na Nape atatakiwa kuja na hivyo ndiyo maana kipindi kingine hakumtaka aombe radhi!

Vipi na sisi wachaga wa Mbeya, Kigoma, Arusha, Igunga, mtwara na Mwanza.........???? ina maana kila mkoa aombe radhi!

This is too low for you, unaendekeza ukabila na gubu, na condition ulizotoa zinakudhalilisha na kuonyesha kuna uwezekano wa jambo 'lile' kuwa la kweli! usifiri wachaga wote wana akili kama zako, jamaa aliposema yale: aliharisha, akanuka amesahaulika huko!!! wewe unaenda kufukua kinyesi...unataka na wewe unuke..mpotezee!

futa hii thread inakudhalilisha wewe! unadhirisha kuwa ni kweli chama cha chadema ni cha wachaga wakati sio...au unasemaje?

cheeeeeers!
 
Sasa mbona hujajibu hoja, unasema mavi ya kale? mavi ni mavi tu huwezi kuyala mwambie Nape ajaribu kama ataweza, nafikiri Quinine hakuwa na maana ya Nape kupita kwa basi kama unavyofikiri wewe mwambie apande jukwaani aone kama machalii wameshasahau.

Wabe bana eti Mchaga wa Mtwara.
 
hoja iko wapi kwenye thread hii? kuwa aombe msamaha? nimeweka hoja ya yeye kuweka hoja..it is hot!!
 
Mkuu inaonekana liliuma sana!

hata hivyo Nape mbona aliishapita huko mara nyingi tu

Licha ya hivyo unamwomba aombe radhi kipindi cha kura tu? kipindi kingine mnaruhusiwa mkitukanwa msiombwe radhi?

Mlijua marehemu atakufa na Nape atatakiwa kuja na hivyo ndiyo maana kipindi kingine hakumtaka aombe radhi!

Vipi na sisi wachaga wa Mbeya, Kigoma, Arusha, Igunga, mtwara na Mwanza.........???? ina maana kila mkoa aombe radhi!

This is too low for you, unaendekeza ukabila na gubu, na condition ulizotoa zinakudhalilisha na kuonyesha kuna uwezekano wa jambo 'lile' kuwa la kweli! usifiri wachaga wote wana akili kama zako, jamaa aliposema yale: aliharisha, akanuka amesahaulika huko!!! wewe unaenda kufukua kinyesi...unataka na wewe unuke..mpotezee!

futa hii thread inakudhalilisha wewe! unadhirisha kuwa ni kweli chama cha chadema ni cha wachaga wakati sio...au unasemaje?

cheeeeeers!
ise selaaaaa? we mchga wa kigoma na mwanza dah? umeenda nunu kabila kama mjomba wenu ndosi aka mmasai feki? sasa leteni shobo huku sio igunga mtatujua machalie wa chug kama wahind waivohama babti na nyie mafisadi watapkimbi arumeru
 
Sipati picha huko Arumeru CCM watakuja na SERA gani mfilisi? Maana tumeshuhudia SERA No. 1 ya CCM ni UDINI (hasa ikilenga kupata kura za waislam. Refer Uchaguzi wa Igunga). Pia SERA namba 2 ya CCM ni Ukanda kwamba CDM ni chama cha watu wa Kaskazini). Huko Arumeru hizo SERA mbili za CCM haziuziki, sijui watakuja SERA gani?
CCM huwa hawakosi sera wameshaanza kugawa baiskeli za vilema.
 
Back
Top Bottom