Jamani Nape amekuwa CAUGHT ON A CROSS ROAD!
Let me give a guy his credity. Nape sio FISADI huo ndiyo UKWELI wenyewe kwa sisi tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM.
Baada ya kuona CCM inapoteza VIJANA wengi na sababau kubwa ni UFISADI, JK M'kti wa CCM akaona njia pekee ya kurudisha trust ya VIJANA kwa CCM, kwanza ni kuwaletea KIJANA mwenzao, lakini sio Kijana tu bali kijana anayechukia UFISADI kwa dhati ya moyo wake. Katika kuangaza katika chama chake ndiyo akamuona Nape Nnauye. kweli JK hakuwa amekosea.
Nape bila kujua masikini akifikiri JK ana niya ya dhati ya kupambana na UFISADI na kurudisha trust ya vijana kwa CCM. Kumbe JK alikuwa na na lake jambo (read Mazigaombwe/usanii). Nape bila kujua akaingia kichwa kichwa. Remember tumewapa siku 90 watuhumiwa wote wa UFISADI wajiondoe CCM, wakishindwa Chama kitawaondoa.
Baada mda Nape amegundua nia JK na CCM ilikuwa sio kupigana na ufisadi, bali kutuliza UPEPO upite.
Sasa katika hatua hii ndiyo Nape amefikia na kama kawaida ya watanzania ameshindwa kufanya maamuzi MAGUMU. Hivyo amebaki vuguvugu, that is ana lazimika sasa kuwatetea MAFISADI na CHAMA chake ilihali ni kinyume na dhamira yake.
Mbaya zaidi style anayoitumia ya KUTETEA MAFISADI wa CCM kwa kuishambulia CDM it is like shooting himself on his own foot.
Frankly speaking VIJANA wengi wanaipenda CDM, simply kwasababu CCM imewaangusha, CCM imekuwa ni chama cha kutetea UFISADI hata ule wa waziwazi kama wa radar na EPA.
Bila CCM kufanya mabadiliko makubwa PIGA UA VIJANA wataendelea kui-support CCM. Mbaya zaidi hata ngome ya CCM ambayo ni akina mama nao sasa wameanza ku join CDM. wafanyakazi ndiyo usiseme kabisa.
Lakini history ni mwalimu mzuri, vyama vyote vikonge vimepitia hatua hii, na CCM ilipofikia hapa haitakuwa tofauti na UNIP, KANU etc
Mwache aendelee kulala. Unamuamsha unampenda sana? We Mchambuzi vipi?
Nakuhurumia sana mr Mchambuzi, nina mashaka nape ni Chadema. kwa propaganda zake sio kwamba anakijenga CCM bali anakijenga CDM. Wewe subiri wakati wa uchaguzi mkuu 2015, nape ataMFUATA MILLYA
Anakaribishwa, hasa ikizingatiwa kwamba ndani ya chama chetu (CCM) tuna kanuni isemayo KUJIKOSOA NA KUKOSOANA NI SILAHA YA MAPINDUZI.
Na kuhusu kauli yako kwamba CCM ni chama cha watoto wa mafisadi, ebu nikuulize: Chadema ni Chama Cha Watoto wa nani? Wakulima (asilimia 70) vijijini? Kwani kama Chadema au chama kingine chochote kitanithibitishia kwamba ni chama cha wakulima (watanzania waliopo vijijini), nitajivua uanachama wangu wa CCM haraka sana na kujiunga na Chadema au chama chochote kitakachofanikisha hilo. Angalau TANU/CCM kilikuwa chama cha wakulima awali, kimeyumba kidogo lakini kikipata uongozi makini, kitarudia hali yake ya awali kwani misingi yote ya chama in that context bado ipo intact;
Anakaribishwa, hasa ikizingatiwa kwamba ndani ya chama chetu (CCM) tuna kanuni isemayo KUJIKOSOA NA KUKOSOANA NI SILAHA YA MAPINDUZI.
Waliowahi kuikosoa CCM waliishia pabaya mfano:
Horace Kolimba
Augustine Mrema
Dr Ulimboka
Dr Mwakyembe
Na wengine wengi walioteswa na kuuwawa
Mkuu chadema ni chama kinachoungwa mkono na watu wa hali ya chini waliochoka manyanyaso ya CCM na serikali yake.
Mchambuzi,
Ni mpaka uzame na Kursk? You are too good for that "dead log", my friend.