NAPE: Ipo siku wananchi watawapiga mawe viongozi kwa unyonyaji'

yaani ni hatari tupu,eti wananchi wanaoichuki serikali ni wachache,eti matatizo yaliyo wakosesha majimbo ya ubungo na kawe wameyajua na wameyatatua na 2015 wanachukua majimbo yote Dar es salaam.

Kwa dar inawezekana sana tu si wanawajua watu wao,dar ni mtaji wa CCM hilo halina ubishi.
 
Cha msingi angetazama nchi yake sio kenya na uganda.sio sawa kujifananisha na jirani.umesema nikakumbuka tabia baadh za wanawake kwa waume zao,utasikia naomba uninunulie hili na lile kama mke wa xxx nk.
bahati nzuri wataanza na yeye..ameshindwa kujibu kuhusu mfumuko wa bei,eti ata kenya na uganda wana hali mbaya kama sisi hivyo si tatizo letu pekee
 
Ameyasema hayo leo asubihi ndani ya MAGIC FM..

Alipoalikwa kujibu hoja juu ya maneno aliyotoa ndugai kwamba,wanaopata posho kubwa si wabunge pekee bali ata wachungaji, NSSF,TRA achilia mbali TANAPA ambao ni kufuru..

NAPE, amesema kuna siku alikua anakatiza mitaani akaambiwa na wananchi kwamba hipo siku tunapiga mawe hayo mavx yenu..
Amedai gap linazidi kuongezeka kati ya viongozi na wananchi lakini pia amesema maisha yakipanda si kwa wabunge pekee, hivyo basi kupandisha posho si suluhisho amemalizia kwa kusema"ndugai nakuheshimu lakini kwa hili hapana"

je kama amegundua hili kwanini asikili pia kuna uwezekano ccm kuondoka madarakani 2015.


Nape haaminiki, kwahiyo kauli yoyote itakayotoka kwake haiaminiki hata kidogo.
 
Hamna lolote Nape ni mropokaji namba moja ccm.
Hata huwa hajui analosema na hakumbuki analosema usishangae siku ingine ukasikia anajitetea kuwa hakuwahi kuzungumza ila ni waandishi wa habari.....Ni kilaza kweli kweli
 
Hamna lolote Nape ni mropokaji namba moja ccm.
Hata huwa hajui analosema na hakumbuki analosema usishangae siku ingine ukasikia anajitetea kuwa hakuwahi kuzungumza ila ni waandishi wa habari.....Ni kilaza kweli kweli

umeongea kweli mtupu,aliwahi kutuwekea matokeo ya igunga kesho yake akakana.
 
Trend: Moses Mnauye to Nape Mnauye, Yusuph Makamba to January Makamba malizieni wana JF. Kujivua Gamba.
 
Back
Top Bottom