NAPE: Ipo siku wananchi watawapiga mawe viongozi kwa unyonyaji'

Hata mimi nimemskiza asubui alisho kisema hata mtoto wa darasa la 7 atamshinda kwa hoja
 
Hivi wewe nape hiyo medula yako iko sawa!!?? ny....yako,hii kauli yako ya kilevi ya hata kenya na uganda wana hali mbaya inanisinya saaaana tena sana.Hivi kwa akili yako unadhani watanzania tunastahili kuwa hapa tulipo kiuchumi???yaani wewe!!! ....bu... kabisa wewe.

ata mimi nimepata kizunguzungu pale aliposema eti ata kenya na ugandawana hali mbaya hivyo basi hatuko peke yetu.
 
Ameyasema hayo leo asubihi ndani ya MAGIC FM..

Alipoalikwa kujibu hoja juu ya maneno aliyotoa ndugai kwamba,wanaopata posho kubwa si wabunge pekee bali ata wachungaji, NSSF,TRA achilia mbali TANAPA ambao ni kufuru..

NAPE, amesema kuna siku alikua anakatiza mitaani akaambiwa na wananchi kwamba hipo siku tunapiga mawe hayo mavx yenu..
Amedai gap linazidi kuongezeka kati ya viongozi na wananchi lakini pia amesema maisha yakipanda si kwa wabunge pekee, hivyo basi kupandisha posho si suluhisho amemalizia kwa kusema"ndugai nakuheshimu lakini kwa hili hapana"

je kama amegundua hili kwanini asikili pia kuna uwezekano ccm kuondoka madarakani 2015.

Mh Rais msafara wake ULIPOPOLEWA kwa mawe na wananchi akiwa ziarani CHUNYA; Mh Rais Mstaafu Ben Mkapa aliwahi kuzomewa maeneo ya Msasani (nisahihisheni wana jamii wenzangu)..

Hawa walipopolewa ikiwa TESTING ya yajayo au ndio tayari yalishaanza aliyosema Nape? TAFAKARI
 
Yeye ndio analiona hilo leo?? Ina maana hao ambao wamekwishayala mawe hakuwahi kuwasikia ??
Badala ya kusema ipo siku angesema ...Ndio maana viongozi wanapigwa mawe. Poor him.
 
Mawe nini bana hawajui virungu na jela thubutuu hakuna wakunyanyua hata kijiwe!
 
Yeye ndio analiona hilo leo?? Ina maana hao ambao wamekwishayala mawe hakuwahi kuwasikia ??
Badala ya kusema ipo siku angesema ...Ndio maana viongozi wanapigwa mawe. Poor him.

''ndio maana viongozi wanapigwa mawe'' well said..na mifano ni dhaili kabisa.
 
Mh Rais msafara wake ULIPOPOLEWA kwa mawe na wananchi akiwa ziarani CHUNYA; Mh Rais Mstaafu Ben Mkapa aliwahi kuzomewa maeneo ya Msasani (nisahihisheni wana jamii wenzangu)..

Hawa walipopolewa ikiwa TESTING ya yajayo au ndio tayari yalishaanza aliyosema Nape? TAFAKARI

ndio maana naisi ata Nape aliyakosakosa mawe,pale alipoambiwa hipo siku watapopolewa.
 
Ni jambo la ajabu sana kusema eti maisha yamepanda na kwamba wabungu wanawatu wengi wanaokuwa wanakwenda Dodoma kuwaomba msaada. Hapana hizi posho hazina uhalali wowote na ni dhuluma kwa umma.Hatuwezi kujenga nchi kwa kuwa na kundi ndogo la wabunge wanaoishi kwa raha mstarehe huku wananchi walio wengi wako hoe.. hai..mzobemzobe. Hizo posho watanaznia tunaomba zipunguzwe toka 70,000/= hadi 50,000/= ili wapungu nao wayaonje machungu ya maisha magumu na hapo ndipo uingiaji mikataba yoyote na wawekezaji. ubunge ni uwakilishi wa wanchi na sio kupata nafasi ya kujitanua kukisho posho.
 
Karibu tuijadili hii kauli ya NAPE.

Nyerere hakuwa na vx, na wala Mosses Nnauye hakuwa nayo, Mbona Nape anayo na anazungumzia hilo gap kwa akina nani kama yeye si mmoja wa hao wanyonyaji? Anajitahidi kusema sana but in action I don't see the difference between him and Chenge
 
akijitokeza mbunge akasema posho zipunguzwe kutoka 70 to 50.watasema ni mbio za kuutafuta uraisi 2015.
 
Nyerere hakuwa na vx, na wala Mosses Nnauye hakuwa nayo, Mbona Nape anayo na anazungumzia hilo gap kwa akina nani kama yeye si mmoja wa hao wanyonyaji? Anajitahidi kusema sana but in action I don't see the difference between him and Chenge

ndugu, yeye anajichukulia kama mtu sana miongoni mwa mafisadi, kama ukimsikiliza vizuri kauli zake..yeye usema 'tutawafukuza waliotufikisha, tutawondoa mafisadi muda ukifika' n.k
 
hatatuwezi kukubali eti ongezeko la posho ni kutoka na mfumo huria,historia aisemi hivyo hata kidogo ndugu.pia kwanini iwe kwa wabunge pekee..alafu kwanini wanahalalisha posho hizo kwa kisingizio eti hata NSSE na TANAPA wanalipwa posho kubwa.hii si sawa.

Upo sahihi lakini nilikuwa naongelea in a wider spectrum kwamba vita dhidi ya ongezeko la income gap between mtu wa juu kiuchumi na yule wa chini ni vigumu sana katika mazingira ya soko huria, na huwa haina mafanikio makubwa sana, ukifananisha na vita hivi ndani ya mfumo wa kijamaa au ule wa welfare state. Hii ni kutokana na nature ya soko huria na principles zake ambazo zipo more individualistic.
 
yaani ni hatari tupu,eti wananchi wanaoichuki serikali ni wachache,eti matatizo yaliyo wakosesha majimbo ya ubungo na kawe wameyajua na wameyatatua na 2015 wanachukua majimbo yote Dar es salaam.

Labda kwa kuiba kura ... vingivevyo wataendelea kuyakosa na mengine.
 
Upo sahihi lakini nilikuwa naongelea in a wider spectrum kwamba vita dhidi ya ongezeko la income gap between mtu wa juu kiuchumi na yule wa chini ni vigumu sana katika mazingira ya soko huria, na huwa haina mafanikio makubwa sana, ukifananisha na vita hivi ndani ya mfumo wa kijamaa au ule wa welfare state. Hii ni kutokana na nature ya soko huria na principles zake ambazo zipo more individualistic.

ata mimi nakubaliana na wewe..kwamba ni ngumu kuliondoa gap lililopo kutokana mfumo tulionao..lakini tuweke reluctance atmosphere ili kupunguza unyonyaji wa waziwazi.nazani tusikate tamaa kalipio pia linasaidia
 
Back
Top Bottom