Nape hoi hospitali, kalazwa

Status
Not open for further replies.
Kuna mambo mengine ukiyasikia yanaleta raha automatically but kwa utu wa ubinadamu na utamaduni wetu pia natoa pole kwa nape Mungu amsaidie apone haraka.
 
Nape afe tu maana yy ndiye anayejidai MUNGU wa ccm anayejua kwamba lowasa ni maiti,,,,afe tu ili atambue kwmb ht yy ni maiti
 
In case napo akifa sasa, WATANZANIA WENGI SANA WATASHANGILIA WAKIMSHUKURU MUNGU KWA KUMWONDOLEA UHAI MAANA NI KERO KWA TAIFA.

NAPO, KNOW THAT ONE DAY YOU WILL PERISH BECAUSE YOU ARE AMONG PERISHABLE GOODS.
 
Akifa vuvuzela huyu nachinja kondoo wangu wote mia 200 nawapa majirani zangu.
 
Kuna tetesi kutka Lumumba kuwa vuvuzela la CCM Nape Nnauye kalazwa hoi akiumwa ugonjwa kama wa Kamanda Zito(kichwa) . Sijafanikiwa kupata Hospitali aliyolazwa, nikipata soon ntawajuza. Aliyekuwa akinijuza kastuka na kuishia njiani.

But je ni mwendelezo wa adhabu ya Rais EL kwa wabaya wake????


============
UPDATED
============

Tumwombee apone ashuhudie kuapishwa kwa Lowassa
 
Khaa!! Nyumbu watakuja kwenye uzi huu kwa kasi ya kutisha huku wakikanyagana :glasses-nerdy:
 
Hii taarifa n ya mwaka 2011 huko du! Mkuu mbona mnajitafutia news za kiajabu jaman afya zetu tumwachen Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom