Nape hoi hospitali, kalazwa

Status
Not open for further replies.
Duh Kumbe 2011 Nikajua Tayari Hon.God Kashampiga Kofi Baada Ya Kumwombea Mwenzake Kifo....Sema Huyu Jamaa Sometimes Anakera Sana,bora Hata Polepole Angepewa Hii Position.....
 
huyu jamaa kumbe huwa wanachekeana na Lowassa?

IMG_0758.JPG

Nape hawezi kuugua maana yeye ni Mungu na ndo anayejua na kupanga Lowassa atakufa lini. Nape hawezi kuugua maana Mungu haugui!!
Mungu Nape hoyeee
Ccm ya Mungu Nape hoyeee
 
Jamaa na tumbo lake kama ni kuahara si itakua balaa maana atakua anaachia mashuzi kila dakika
 
Binadamu, ni nani ajuaye ya kesho? Hii miili ni udongo tu, waweza kujiona mzima leo, kesho ukaambia organ zimefail. Jamani tukiwa wa uzima tumshukuru aliyetuumba, na siyo kuringa. Sisi ni kama maua, wachanua leo, kesho hunyauka.
 
Watu watakuheshimu kama na wewe utajiheshimu angeweza kufanya siasa bila kuhusisha afya ya Eddo hata ukawa wangetoa pole zao ndio sababu kutokana na matamshi mabovu na kulewa madaraka na kudhani wao wataishi milele hupelekea watu kuandika wanavojisikia pindi wanapokufa nashauri waelevuke katika kauli zao na sio kauli za kuwagawa watanzania kila wapatapo nafasi ya kuhutubia wanawaudhia hadi wana ccm wenzao wenye akili sema hawajui tu
 
Na ndio maana kuna tofauti kati ya wanasiasa wetu na wale wa mataifa yaliyoendelea wao hujikita zaidi kutetea sera zao na namna gani zitatekelezwa na pesa zitatoka wapi, na kueleza mambo makubwa juu ya afya, uchumi na maisha kwa raia wao sisi wanasiasa wetu ni waropokaji tu hajui kwa nini anaomba kura wala hajui anakwenda kutimiza vipi majukumu yake na wala hawaelezi wamefanya nini kwa muda wote ambapo mgao ndio bado unashika kasi huku wakijigamba tutajenga viwanda kuna viwanda bila umeme?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom