Nape, hivi unajua kua ulifeli tangu kujivua gamba hadi chaguzi za udiwani na kesi za ubunge?

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Hivi wewe nape unaakili kweli kweli?????????
  1. Cdm imewanyang'anya ccm kata 3 na cuf imewanyang'anya ccm kata 1...........hapa nani ana hasara????????wewe ni katibu mwenezi unayepoteza kila siku, umepoteza Arumeru mashariki, umepoteza Igunga, umepoteza Sumbawanga na sasa umepoteza kata 4. Je unafaa kuendelea kuwa mwenezi?????????? Tena umepoteza majimbo na kata muhimu. Hivi unjua mgombea wako wa kata ya mtibwa ndiyo aliyepitwa kwa kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote yule kwa kata zote 29? je umejaribu kuangalia tofauti ya kura kati ya shishiem na cdm????????? je umeangalia mmeonga magodoro, pesa na ununuzi wa vitambulisho kwa sh ngapi????
  2. Mdomo ulimponza makamba sasa na wewe chezea cdm...............itaendelea kukulaulua.
  3. Umepiga kelele za gamba zimekutokea puani hatimaye Igunga hiyoooooooooooooo, umepiga kelele za gamba hatimaye Sumbawanga hiyooooooooooooooooooo,umepiga kelele za gamba hatimaye Aden Rage akaumiwa jela baati yake akalipa faini,umepiga kelele za gamba daraja 2 hiyoooooooooooooooooooo, umepiga kelele za gamba kata 3 mikononi mwa peoplessssssssssssssss. Hivi aliyenyang'anywa na alinyang'anya mjanja nani?

NB. pIA MgOmBeA WaKo kAtA Ya mTibWA NdIyO Wa mNyUlO KwA Kuzidiwa kura nyingi na mapipoooooooooooooooz:bange::flock:yani wewe ndiye katibu mwenezi uliyefeli kabla ya muda wako
 
MBONA UNATOA POVU? NANI KAKATAA HOJA YAKO?Una akili sana......kama usingekua akili usingeweza kujua haya uliyoeleza... Hongera sana!Hongera kwa mzazi wako kuzaa mtoto mwenye akili sana! Hongera sana!!!

QUOTE=Man 4 M4C;4939731]Hivi wewe nape unaakili kweli kweli?????????
  1. Cdm imewanyang'anya ccm kata 3 na cuf imewanyang'anya ccm kata 1...........hapa nani ana hasara????????wewe ni katibu mwenezi unayepoteza kila siku, umepoteza Arumeru mashariki, umepoteza Igunga, umepoteza Sumbawanga na sasa umepoteza kata 4. Je unafaa kuendelea kuwa mwenezi?????????? Tena umepoteza majimbo na kata muhimu. Hivi unjua mgombea wako wa kata ya mtibwa ndiyo aliyepitwa kwa kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote yule kwa kata zote 29? je umejaribu kuangalia tofauti ya kura kati ya shishiem na cdm????????? je umeangalia mmeonga magodoro, pesa na ununuzi wa vitambulisho kwa sh ngapi????
  2. Mdomo ulimponza makamba sasa na wewe chezea cdm...............itaendelea kukulaulua.
  3. Umepiga kelele za gamba zimekutokea puani hatimaye Igunga hiyoooooooooooooo, umepiga kelele za gamba hatimaye Sumbawanga hiyooooooooooooooooooo,umepiga kelele za gamba hatimaye Aden Rage akaumiwa jela baati yake akalipa faini,umepiga kelele za gamba daraja 2 hiyoooooooooooooooooooo, umepiga kelele za gamba kata 3 mikononi mwa peoplessssssssssssssss. Hivi aliyenyang'anywa na alinyang'anya mjanja nani?

NB. pIA MgOmBeA WaKo kAtA Ya mTibWA NdIyO Wa mNyUlO KwA Kuzidiwa kura nyingi na mapipoooooooooooooooz:bange::flock:yani wewe ndiye katibu mwenezi uliyefeli kabla ya muda wako[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom