Nape hakuna kauli ya CCM juu ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi?

Kwani hoja ya kujitoa mhanga hukuisikia?

Naona hata wao wenyewe wanaona aibu kuisimamia hvyo wanaisema kimya kimya kiaina kwenye mitandao.
 
hii ndio kawaida yake kama ilivyokua mauaji ya zanzibar akarudi safari akapitia Monduli kuwapandisha vyeo maaskari
 
mmemkumbusha kesho si muda mrefu atatuma au kama sio hivyo subirini ile habari ya mwisho wa mwezi ndio mtaona takavyo tokea na maneno yasiyoeleweka
 
Kwani Mwangosi alikuwa Mwandishi wa Rais? Mbona vile vile hakutuma salaamu kwa familia ya Ali Zona?
 
Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu juu ya umauti uliompata mpendwa wetu mwangosi kule Nyororo Mufindi. Kinachonisikitisha ni kwamba Magamba ambao wamekuwa wakijitanabaisha kuwa ni wapenda amani, utulivu na utawala wa sheria, hawajasema lolote juu unyama wa kutisha kwa mwandishi wa habari
  • Je hii inaashiria kuwa CCM wamefurahia unyama huu?

Usiwasemee
 
Wako buzzy na werema wanatayarisha mashitaka dhidi ya rais Dr.slaa juu ya sms kwa IGP.Wanatafuta nitoke vipi yao.Single haijakolea wanafanya rehersal
 
Single zao hizi hapa;
  1. cdm ukabila
  2. cdm ukanda
  3. cdm udini
  4. cdm ukatoliki
  5. cdm chama cha fujo-hapa hoja ya policcm ikaingia na hatimaye mauaji ya kutisha
  6. cdm maghaidi-single hii iko jikoni ikipakuliwa itatoka na kiitikio cha watu kujilipua huku wamevaa nguo za chadema
 
Nape katulia baada ya kuona watu wanataka kumpeleka mahakamani. Nampango ndo umeshaivaa stay tunn.
 
Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu juu ya umauti uliompata mpendwa wetu mwangosi kule Nyororo Mufindi. Kinachonisikitisha ni kwamba Magamba ambao wamekuwa wakijitanabaisha kuwa ni wapenda amani, utulivu na utawala wa sheria, hawajasema lolote juu unyama wa kutisha kwa mwandishi wa habari
  • Je hii inaashiria kuwa CCM wamefurahia unyama huu?

Ungemwambia kwanza ni unabiii gani alionao alipotabiri kuwa Morogoro kungetokea vurugu ktk mkutano wa CHADEMA? Walijipanga kufanya vurugu Morogoro, Iringa na kwingineko CHADEMA inapofanya mikutano ili CHADEMA waonekane ni chama cha vurugu lakini naona wanachoambulia ni aibu tupu. Makubwa jinga yote.
 
Sijaona point yoyote hapa wala sijaona maana ya mtoa hoja. Hamna kutafuta umaarufu kupitia mauaji yasiyoelezeka ya mwenzetu.
 
Mbona hivi sasa wanapongezana kwa kazi nzuri iliyofanywa na shemeji wa mwenyekiti wao?
 
Nape, UVCCM kimyaaaaa!

Wameshikwa pabaya!

Nape alisema anasubiri ripoti ya polisiccm, Shigella alisema hawatalaani tukio hilo mpaka viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA waachie madaraka.
 
Haya yanayotokea ni sehemu ya utekelezaji ya yale aliyosema Waziri Wasira kuwa watahakikisha kuwa wanaisambaratisha CHADEMA ndani ya mwaka mmoja Episode four inaendelea
 
Intelegencia iligundua usalama wake Uko hatarini ndio maana akamtuma Mwandosya kuwaahidi kusomesha watoto wa marehemu.......




Rais Kikwete alikuwa na safari ya kwenda Iringa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Asha Kipangula yaliyofanyika tarehe 3/9/2012 imefahamika.

Safari ya mheshimiwa Rais ilikufa ghafla baada ya kusikia kuna mauaji ya mwandishi wa habari mkoani Iringa yaliyofanywa na Askari wa jeshi la Polisi. Kama kawaida makamanda wa Intelligensia walimshauri mzee asiende Iringa maana hali si shwari. Naye Mheshimiwa bila kujali aliyefariki ni kada na mpiganaji aliyechangia Mororgoro kupeperusha bendera ya Kijani enzi za uhai wake na kuamua kumtosa na kusema heri lawama kuliko fedheha.

Hofu iliyopo kwa kitendo hicho ni kuwa kiongozi huyu ni mwoga wa matukio na amedhihirisha hata kama kutatokea machafuko nchini yeye atakimbia kwa kuwa hawezi kukabiliana nayo.
 
kova anajiandaa na sinema nyingine,sijui sasa hivi muuaji ataenda kutubu msikitini?hebu tusubirie kwa hii tume maana ya ulimboka tume imakataliwa kabisa.,:rant:
 
Matamko ni specialization ya Mnyika na CDM. Nenda offisini kwake ana mafaili ya matamko hadi imebidi wapunguze fenicha.
 
Back
Top Bottom