Nape hakuna kauli ya CCM juu ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi?

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu juu ya umauti uliompata mpendwa wetu mwangosi kule Nyororo Mufindi. Kinachonisikitisha ni kwamba Magamba ambao wamekuwa wakijitanabaisha kuwa ni wapenda amani, utulivu na utawala wa sheria, hawajasema lolote juu unyama wa kutisha kwa mwandishi wa habari
  • Je hii inaashiria kuwa CCM wamefurahia unyama huu?
 
Tumemzoea Rais wetu pindi kinapotokea kifo kinachowahusu watu au jamii huwa anakuwa wa kwanza kutuma salam za rambirambi, ila ukweli sijasikia kama katuma salam za rambirambi kwenye hiki kifo cha Mwangosi?
Je Rais ametuma salama za rambirambi? au ni mimi sijaona
 
Huyo JK atume au asitume salamu za rambirambi in sawa tu. System imehusika ktk mauaji hayo.

Nadhani yuko busy kujiandaa kwenda Lesotho kwa mfalme Mswati kushuhudia sherehe za kila mwaka za mabinti MABIKRA kupit robo tatu uchi mbele ya mfalme ili aweze kujichulia kinda bichi. Si unajua tena huyu JK anavyopenda hayo majamboziii
 
Tumemzoea Rais wetu pindi kinapotokea kifo kinachowahusu watu au jamii huwa anakuwa wa kwanza kutuma salam za rambirambi, ila ukweli sijasikia kama katuma salam za rambirambi kwenye hiki kifo cha Mwangosi?
Je Rais ametuma salama za rambirambi? au ni mimi sijaona
Inasemekana kitu kilichowakera Polisi ni mavazi ya Marehemu sehemu kubwa yalikuwa ya Kaki mavazi wanayotumia Cdm
 
Mmmmmhhhh subiri nikumbuke, ila kama vile alikua busy na mambo yake tu
 
Rais Kikwete alikuwa na safari ya kwenda Iringa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Asha Kipangula yaliyofanyika tarehe 3/9/2012 imefahamika.

Safari ya mheshimiwa Rais ilikufa ghafla baada ya kusikia kuna mauaji ya mwandishi wa habari mkoani Iringa yaliyofanywa na Askari wa jeshi la Polisi. Kama kawaida makamanda wa Intelligensia walimshauri mzee asiende Iringa maana hali si shwari. Naye Mheshimiwa bila kujali aliyefariki ni kada na mpiganaji aliyechangia Mororgoro kupeperusha bendera ya Kijani enzi za uhai wake na kuamua kumtosa na kusema heri lawama kuliko fedheha.

Hofu iliyopo kwa kitendo hicho ni kuwa kiongozi huyu ni mwoga wa matukio na amedhihirisha hata kama kutatokea machafuko nchini yeye atakimbia kwa kuwa hawezi kukabiliana nayo.
 
Tumemzoea Rais wetu pindi kinapotokea kifo kinachowahusu watu au jamii huwa anakuwa wa kwanza kutuma salam za rambirambi, ila ukweli sijasikia kama katuma salam za rambirambi kwenye hiki kifo cha Mwangosi?
Je Rais ametuma salama za rambirambi? au ni mimi sijaona
Hebu tuache hizo jamani,rais itabidi awe anatoa salama kwenye vipindi vya matangazo ya vifo sasa
 
Rais Kikwete alikuwa na safari ya kwenda Iringa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Asha Kipangula yaliyofanyika tarehe 3/9/2012 imefahamika.

Safari ya mheshimiwa Rais ilikufa ghafla baada ya kusikia kuna mauaji ya mwandishi wa habari mkoani Iringa yaliyofanywa na Askari wa jeshi la Polisi. Kama kawaida makamanda wa Intelligensia walimshauri mzee asiende Iringa maana hali si shwari. Naye Mheshimiwa bila kujali aliyefariki ni kada na mpiganaji aliyechangia Mororgoro kupeperusha bendera ya Kijani enzi za uhai wake na kuamua kumtosa na kusema heri lawama kuliko fedheha.

Hofu iliyopo kwa kitendo hicho ni kuwa kiongozi huyu ni mwoga wa matukio na amedhihirisha hata kama kutatokea machafuko nchini yeye atakimbia kwa kuwa hawezi kukabiliana nayo.

Sidhani, alikuwa na majukumu mengine.
 
Tumemzoea Rais wetu pindi kinapotokea kifo kinachowahusu watu au jamii huwa anakuwa wa kwanza kutuma salam za rambirambi, ila ukweli sijasikia kama katuma salam za rambirambi kwenye hiki kifo cha Mwangosi?
Je Rais ametuma salama za rambirambi? au ni mimi sijaona
Labda kupitia Prof. Mwandosya. Lakini hata CHAMA CHAKE sikuona kikishiriki, wakati huohuo wanasema CHADEMA ndio tumeua
 
Rais Kikwete alikuwa na safari ya kwenda Iringa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Asha Kipangula yaliyofanyika tarehe 3/9/2012 imefahamika.

Safari ya mheshimiwa Rais ilikufa ghafla baada ya kusikia kuna mauaji ya mwandishi wa habari mkoani Iringa yaliyofanywa na Askari wa jeshi la Polisi. Kama kawaida makamanda wa Intelligensia walimshauri mzee asiende Iringa maana hali si shwari. Naye Mheshimiwa bila kujali aliyefariki ni kada na mpiganaji aliyechangia Mororgoro kupeperusha bendera ya Kijani enzi za uhai wake na kuamua kumtosa na kusema heri lawama kuliko fedheha.

Hofu iliyopo kwa kitendo hicho ni kuwa kiongozi huyu ni mwoga wa matukio na amedhihirisha hata kama kutatokea machafuko nchini yeye atakimbia kwa kuwa hawezi kukabiliana nayo.

HAPANA. Siyo mwoga ila misiba ya ndani haina "LADHA"
 
Back
Top Bottom