NAPE fungua hapa kuna zawadi yako

hizi picha zilipigwa miaka 50 kabla ya uhuru.

261325_175684172493219_100001549126150_454564_1619470_n.jpg

akili za magamba bwana duh!!
 
Hayo ni magamba ya miti au ngozi? Hawa lazima watakuwa Watindiga aka Wahadzabe. Hawawezekaniki hata kije kiama. Wanang'ng'ania hunter and gatherer lifestyle yao ya tokea enzi ya zama ya mawe.
 
Asante, nakala apewe mkuu wa nchi, aone na watu wake waliovaa magwanda ya chama chake.
 
Usijitazame wewe, tazama alie chini yako :

611starving.jpg

24324615.jpg

Kweli wewe ni Chongo wa Akili! Badala ya kuangalia walioendelea unataka tujisifu eti kwa kuwa tumewazidi Somalia, nchi ambayo imekuwa vitani kwa zaidi ya miaka 30 sasa!

Wakakupime Akili wewe!
 
Kweli wewe ni Chongo wa Akili! Badala ya kuangalia walioendelea unataka tujisifu eti kwa kuwa tumewazidi Somalia, nchi ambayo imekuwa vitani kwa zaidi ya miaka 30 sasa!

Wakakupime Akili wewe!
ndio akili ya kijana wa ccm..sasa akili za hao wazee wanaotuongoza si utachokaaa
 
Back
Top Bottom