Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

Kageuka Nape umetoa habari za ujumla mno bila kutumia takwimu za kisomi, kajipange upya ili uwasilishe paper yako kesho kwa wadau.
 
Last edited by a moderator:
I THINK ITS TIME NOW FOR SLAA TO RETIRE,,
KWA CHADEMA TUITAKAYO YAMPASA AWE KAMA YULE MKWE WAKE MBOWE
YULE MUASISI WA CHAMA HIKI KITAKATIFU i.e MZEE MTEI
:smile: :smile:

NO SENSE AT ALL!CCM wamepoteza kwenye uchaguzi huu kwa kushindwa kutetea kata zao 5!Dr Slaa anapaswa kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuwanyang'anya CCM kata zao 4 walizokuwa wanazishikilia kuanzia 2010-2012!

Viongozi wa CCM ndiyo wanapaswa kujiuzuru na Dr Slaa anapaswa kupandishwa cheo(kama kipo cheo kikubwa zaidi ya katibu mkuu CHADEMA)
 
Huyu mtoto Nape alimiss kabisa malezi ya wazazi na amekosa adabu kabisa. Hivi kwa kijana mdogo kama Nape anaweza kusimama na kumtukana mtu mzima kama Slaa matusi ya namna hii? Mmmh, yaani nimeamini kweli CCM ni kiwanda cha matusi, tulikuwa tunamshangaa Lusinde kumbe ni tabia ya wanachama na viongozi wote wa CCM. Ndiyo maana mikosi haiishi nchi hii kumbe ni laana ambazo CCM inazipata kutokana na kutowaheshimu wazee. Yaani bora tungewachukua mateja tu waongoze hiki chama ieleweke moja kwamba kinaongozwa na mateja kuliko akina nape wenye tabia mbovu kuliko za mateja na vichaa.
 
mi naona busara zaidi ni kutomjibu huyu mtu asiyekuwa na nidhamu ya mdomo kumtukana kiongozi wake wa chama badaye
 
no sense at all!ccm wamepoteza kwenye uchaguzi huu kwa kushindwa kutetea kata zao 5!dr slaa anapaswa kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuwanyang'anya ccm kata zao 4 walizokuwa wanazishikilia kuanzia 2010-2012!

Viongozi wa ccm ndiyo wanapaswa kujiuzuru na dr slaa anapaswa kupandishwa cheo(kama kipo cheo kikubwa zaidi ya katibu mkuu chadema)



mtunuku basi wewe hiko cheo
rais au??
 
Hivi Nape aliwahi kupata malezi wa wazazi wote wawili yaani mama na baba ?

Nidhamu yake ni ya chini mno.

Nafasi anabeba ni kubwa mno kwake. Hastahili.

Kwa kauli yake hiyo leo amepunguza kura za CCM zaidi.
 
Ushindi huu wa Mabwepande ni Kiini macho tu kwa wenye mtazamo mrefu na mpana. Walivyofanya maabwepande ni sawa naa uchuguzi wao ndani ya chamaa chao.

swali je kulikuwa na uwanja sawa kwa kila chama.
 
Ni aibu kuwa na kijana msaliti kama Nape Nnauye
-Kwanza nilitegenea Nape
katika kujitokeza kwake kwenye media aongelee kashfa ya rushwa kwenye chaguzi ndani ya chama hasa ndani ya UVCCM mbayo ni jumuiya aliyotaka kuiongoza na ndiyo iliyomfikisha hapo kwa kujifanya na kuaminisha watu kuwa yeye ni mpambanaji dhidi ya ufisadi.Sikutegemea kwa mpambanaji kama huyu aongelee hili kabla ya hilo suala la rushwa
-Degree yake ya Journalism kule chuo cha Acharya,Bangalore ndiyo amekuja kuitumia vibaya kisiasa?Nape hajawahi kuwa makini katika uongozi tangu akiwa Acharya.Ni attention seeker
-Kwa kuwa huyu ni Muoga wa hesabu na takwimu(uwezo wake mdogo darasani tunaujua kule Acharya na tunaheahimu mapungufu yake) ameshindwa kujua M4C imezinduliwa miezi 4 tu iliyopita na kule Morogoro matokeo ya Udiwani yanajulikana,kule Iringa Dola ilipotumika hali ya kisiasa inajlikana na kule Lindi ambako M4C ilikoeneza uhamasishaji kwa kubeba bendera ya upinzani hata kuunga mkono jitihada za Mbunge wa CUF kwa maslahi ya Taifa matokeo yanajulikana
-Hapa hafanyi kazi ya uenezi bali ana kiu ya kujibiwa na Dr.Slaa au Mnyika tu.Hana majibu ya kuhusika kwake kuchochea vijana UVCCM kupigana ngumi hadharani na kudhalilisha chama chake wakishirikiana na kijana wa mwenyekiti ambaye anamtetea katika upuuzi waliofanya.
-Vijana kama Nape wanatakiwa kuacha siasa na kuwaachia wazee makini kwani vijana wa sampuli yake ndani ya CCM wameendelea kuwa sehemu ya siasa za kutumika na wazee kwa rushwa ili kupitisha matakwa ya wazee hao.Anachofanya Nape ni kukwepa aibu ya wazee wake kuzidiwa dau katika Rushwa kwenye chaguzi na wazee wengine waliokubuhu kwa kashfa za ufisadi hasa katika kampuni tata ya RICHMOND.
-Nani asiyejua CHADEMA imeshinda kata nyingi nje ya zile iliyokua ikishikilia?
-Katika uchaguzi huu CHADEMA imewanyang'anya CCM kata na kulinda kata zake
-Nape anamaanisha kuwa CCM ikiwa na uchaguzi shughuli nyingine ndani ya chama zinasimama?Wasira alikua akifanya nini Arusha?Wasira ni waziri na ni sehemu ya dola kwa mujibu wa kanuni za ovyo za uchaguzi Tanzania.Nape Mwenyewe alikua Shinyanga na Waziri wa zamani Maige
-Watu wenye legacy kama ya Dr.Slaa hawastahili kuacha siasa kwani kufanya hivyo vijana wa aina ya Nape hawatalipeleka taifa pazuri.Wanahitaji kufundwa hata kama wamenogewa ufisadi huko CCM
-Wakati Nape akijifanya CCM ilikua kwenye uchaguzi wake wa ndani,badala yake walitumia Dola na wahalifu sugu kutishia watu kujitokeza kupiga kura pamoja na Green Guard.Ni wakati sasa wa kuhuisha daftari la kudumu la wapiga kura na tufuate kanuni hai za demokrasia.Tuwe na mfumo ambao kila kijana anayefikisha miaka 18 moja kwa moja qjumuishwe kwenye daftari la wapiga kura
Pia sasa nitatoa wito kwa chama changu tuimarushe Red Brigade zaidi kulinda wafuasi wetu
 
Well said Nape huyu mzee hata jana Igunga amekosa watu Ziba wakakodi coster zikasomba watu bado mkutano ulidorora sana mbaya akatamba kuwa chadema watashinda data zote na alikua anatamba kuwa chadema wanaongoza tatizo wapambe wake hawataki aguswe lakini hakika babu Igunga amekosa watu na wamemchoka amini usiamini jana ziba wananchi walikua bize hawana time naye
 
Nape siasa zimekushinda. Fungua kiwanda cha kufua Nepi za watoto tu waliojinyea!
 
Tatizo la chadema ni kutokukubali ukweli. Ukweli unauma. Chadema baado. Hii ni aibu sangara vua gamba nakadhalika mpaka watu wanakufa kwenye maandamano ya kufoji halafu unapata tano ya mia poleni sana
 
mtunuku basi wewe hiko cheo
rais au??

NKADABWI;Uliposema kuwa Dr Slaa apumzishwe ni propaganda tu na hata ww unajua hivyo na propaganda HAZIWEZWI ACHWA ZIPITE bila kujibiwa!CCM wamepoteza viti 5 vya udiwani lkn HUJASEMA KAMA sasa Nape anapaswa ajiuzuru LKN CHADEMA na kuongeza viti 4 zaidi unasema viongozi wake wa kitaifa wapumzishwe>>>>>>>WHY?Walio ongeza viti vya udiwani ndiyo viongozi wake wanapaswa kupumzishwa na wala sio wale waliopoteza viti?

NO SENSE!
 
Huyu kijana mbona anafikiria kizee na akizeeka sijui atafikiri vipi? Kitoto kimekuwa kama hakina ubongo! Singida wana bahati mbaya kuzaa mitoto mipumbavu miwili Mapepe Ninaye na Michembe Mwiiigulu.
 
Back
Top Bottom