Nape: Dawa ya Lowassa, Rostam na Chenge tayari imeshachemka

bonge sinema never miss its end..................................................

Kuhusu EL mwl alishatuonya watz, ila uswahiba wake na bb R1 ndio umeifikisha ccm ilipo sasa, hata hivyokwa umri wake inakaribia kufa, tuizike vyama watt viendeleze nch kwn kwa ccm hakuna jipya.

Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015
Huyu bwana mdogo asichokijua ni kuwa Sisiem ni kampuni........na hao anaotaka kuwafukuza ni wenye hisa nyingi kuliko wote................inachekesha sana:music:

Swala la kufukuza wanachama kwa CCM halipo, hawana utashi huo wala uthubutu

Pili niseme kufukuza viongozi wa juu CCM ni swala gumu kuliko CCM kutekeleza ilani yake ya kuboresha huduma umeme.

Labda mimi ndio nachanganya mambo nini?..ru talking about EL, RA na AC ambao miezi sita tu iliyopita JK aliwashika mikono juu juu na kusema ni watu safi sana... Je wamechafuka lini? Si EL aliyepigiwa kura na wana CCM kuwa M/Kiti ya kudumu ya ulinzi na usalama...inakuwaje tena give us a break..

Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

Huyu Dogo Nape Nnauye asubiri 2015, Edward Ngoyai Lowasa atakuwa RAIS wa Tanzania.

Nape sidhani kama una jeuri hiyo, wale ni mafisadi papa na mashosti wa mwenye kigoda, we utapigwa chini tu (siyo mrengo wangu lakini)

asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza lowasa wala rostam si mmeona juzi kawambia kama mnaweza fanyeni maamuzi haraka ,keshaona nyie wote ccm ni kondoo ,hamna jeuri ya kumfukuza si mliona wabunge wangapi walivyomshangilia.pole nape kaa kimya ili tumbo lako lipate mkate shauri yako

asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza lowasa wala rostam si mmeona juzi kawambia kama mnaweza fanyeni maamuzi haraka ,keshaona nyie wote ccm kama kondoo ,hamna jeuri ya kumfukuza si mliona wabunge wangapi walivyomshangilia.pole nape kaa kimya ili tumbo lako lipate mkate shauri yako

NAPE Whatever hand you're dealt, play it! Because whining, crying, and complaining isn’t going to change what’s in the cards for you...

CCM hawana ubavu wa kuwafuza RACHEL, labda waanze kumfukuza Jakaya Mrisho Kikwete vinginevyo ni usanii tu.

CCMMMMMMMMMM. Mbona mnahangaika, kujivua magamba siyo dawa ya kusafisha CCM, lowasa na wenzake siyo chanzo cha ccm kuvurunda, hata mkiwafukuza ccm, bado mnamambo mengi ya kuwajibu watanzania. Mnachokifanya ni kutafuta mbuzi wa kafara.

Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

Mwezi wa sita sasa huu hiyo dawa imeshachemka, nahisi imeshachacha na kuvunda sasa na haina makali tena. In short hakuna mwenye ubavu CCM ya kuwatoa mapacha watatu. Period!

Hakuna anayeondoka kati ya hao. Hivi kati yao nani kaiba fedha zetu na karatasi inaonyesha hivyo. Hivi hakuna wafanyakazi serikalini walioshirikiana nao jamani. Tusiwe MAZUZU hawa jamaa wana pesa zaidi ya Obama combined, na Bill gates anawashindaka kwa Billiion chache tu. Kifupi Ukimwondoa Rostam Nchi haitawaliki KIUCHUMI - hii - Je ****** na Mtoto wa Kuli wako Tayari kwa hilo. Acheni upambe

Similar Discussions

Back
Top Bottom