JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Nape said:Nazipokea kwa unyenyekevu MKUBWA kejeli na kasha zote...LAKINI naheshimu sana pia wale waliojaribu kujadili HOJA ...
Wametaja hapa idadi ya wanafunzi walio vyuoni KUWA NI zaidi ya 70000.... Hivi wakati tunapata uhuru wanafunzi WA Elimu ya juu kwa takwimu ZENU walikuwa zaidi ya ho NADHANI NDO MAANA Leo twasema inashuka idadi BADALA ya kuongezeka.....
Nani kawatukana vijana.? Nilichosema vijana wengi Mwaka jana walionekana mutiny ga mkono CCM, na hii NI kwa MUJIBU WA matokeo ya utafiti SI NAPE.... SABABU NYINGI ZINAZOTOLEWA KWAKWELI NYINGI SI ZA KWELI JUU YA SABABU ZA UAMUZI HUO WA VIJANA.... SASA HAPA TUSI LIKO WAPI?
Nape,
..unacheza na maneno na data.
..ni kweli tuna vijana wengi ktk vyuo vya elimu ya juu kuliko wakati wowote ule, which is a +ve thing.
..sasa nakuomba uende mbele na kujaribu kulinganisha kama kweli vijana hao wamepikwa kitaaluma kulinganisha ni miaka ile tulipokuwa na UDSM peke yake.
..pia kuna fahari gani kuwa na vijana wengi ktk vyuo kikuu wakati hali hiyo haiambatani ni hatua zozote zile kuhakikisha kwamba wanaajiriwa kwa kazi za kitaalamu mara wanapomaliza masomo?