Nape: CCM itatawala milele

hv amechanganyikiwa huyu dogo au posho za ccm zinamchanganya yaani kachizi sana amekosa muelekeo kabisa nimeangalia habari yan nikashanga sana
 
nape unawatuhumu wana ccm wenzako eti wajivue magamba wakati wewe umejivika la kobe.Ulijivuaje u ccj kama sii kwa kupewa rushwa ya ukuu fulani na ccm?.Hiyo 'milele' unayoizungumzia leo nchi kuwa chini ya ccm ni kwamba ardhi yote itakuwa mikononi mwa wawekezaji,madini yote,misitu,wanyama na rasilimali zote zitakuwa zimeporwa na wawekezaji/wanyang'anyi.HATUDANGANYIKI TENA NAPE.
 
Nape anasem CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.

Nape, anatembea na laana ya umaskini wa watanzania, hivi karibuni ataanza kuhutubia akiwa amevua nguo zote baaad ya magamba kukataa kujivua yenyewe.
 
Its so easy to notice people with little minds, just apply a little pressure on them then see how they suffocate cause they cant think straight with their short minds even if the pressure is low. :boxing:
 
Yani huyu jamaa kaitabiria CCM kuendelea kuongoza nchi hii hata yeye atakapokuwa amekufa maana hamna mwanadamu atakayeishi milele.
 
Hivi Nape ha iyo ni afya? Au una safura? Twaweza kukulaumu bure kumbe una umwa na unahitaji matibabu. Kuropoka kwako nakutilia shaka! Unaropoka mpaka sasa unamzidi Tambwe Hiza, kama ni kulinganisha wewe una PhD na Tambwe ana masters. Hivi vision yako ni ipi?
 
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.

Tusishangae 2015 CCM ikasambaratika kabisa, maana JK atakuwa hana la kupoteza na kuacha wanaCCM wauane kwa ajili ya urais.

Ndipo hapo Nape na uvuvuzela wake atakapoonekana kama kopo la uani maana wenye fedha zao na ambao wanapigwa mawe saizi ndiyo watakaoukuwa na nguvu kubwa chamani!!!!
 
Nape, anatembea na laana ya umaskini wa watanzania, hivi karibuni ataanza kuhutubia akiwa amevua nguo zote baaad ya magamba kukataa kujivua yenyewe.

kweli mkuu, huyu jamaa anaelekea huko. Nashindwa kuelewa unatumia nn kufikiri.
 
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.

Inawezekana huyu jamaa hakulia mara baada ya kuzaliwa,ndio maana akili yake inaonekana sio nzuri! CCM itatawala milele ikiwa KUZIMU lakini si hapa TZ
 
nadhani kama ni kweli amesema hivyo ameingilia mamlaka makubwa sana ya yeye aliye juu. ndio yale yale ya I am the state. Ukishalewa madaraka unaona kama upo sawa na yeye aliye juu
 
nadhani kama ni kweli amesema hivyo ameingilia mamlaka makubwa sana ya yeye aliye juu. ndio yale yale ya I am the state. Ukishalewa madaraka unaona kama upo sawa na yeye aliye juu

ni kweli kasema hivyo tena kwenye mkutano wa hadhara, hakuna anaemsingizia hapa.
 
Mjinga huyo,hata hajui maana ya umilele.Wanadamu hapa duniani hatuishi milele,muda wetu ni mfupi sana.Tukiishi sana miaka 120.
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
 
Back
Top Bottom