Nape: CCM itatawala milele

Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.

Hata mimi naruhusiwa kuota au kuwaza kwasauti
 
kizuri tanzania ni kuwa kila mtu ana haki ya kusema.... mwache aseme tu

Nape acha kumkufuru Mungu, yaani umelewa madaraka hadi hudhamini nguvu na mamlaka ya Mungu. Uwepo wa milele ni sifa ya Mungu tu si binadamu wala kilichoanzishwa na binadamu. Sasa we Nape unaonekana umevimbiwa madaraka. Unacheza Mungu weye!
 
amenichekesha sana aliposema ccm itatawala milele kwa sababu wapinzani hawajajipanga kuja na sera mbadala za kuikomboa nchi hii. nikaanza kufikiri hivi huyu mtu anajua anachokiongea?
yaani ccm inajua imechoka kwa hiyo kunatakiwa kuwa na sera mbadala yenyewe haina sera tena na mwenezi anajua.
na kakiri wapinzani tu ndio wanaweza kuikomboa nchi.
nape iwe unajua au hujui hii kauli na ile kufuru ya kusema ccm itatawala milele lazima zikutafune kabla hujaondoka hapa duniani.kwa nini hotuba zako usiwe unaandika ukazisoma kama mara mbili na kuomba ushauri kwa wenzako?au ni ile kauli ya makamba kuwa hushauriki na kukifanya chama kama mali yako?
umemsikia raza asubuhi?

kamanda raza, kasemaje asubuh?
 
Kama ilivyo kawaida yake, Nape Nnauye akiwa Makambako amehutubia umati kiduchu wa watu huku akifoka foka kwa hasira, hali ambayo sijawahi kumwona nayo before. Amesema CCM imetawala jana, inatawala Leo na itatawala milele. My take: zile hasira ni ishara ya presha kuzidi maana watu hawaji wakati wenzao CHADEMA wanazoa kila kitu. Pia ni dalili ya chama kufa rasmi lakini anajifariji. Source TBC taarifa ya habari.
 
naisubir 2015 mana tz hali imekua mbaya, kila siku afadhal ya jana, ajira tatizo sugu mtaan degree zimejaa kaa darasa la 7, vyakula vimepanda bei..mchafuko wa dini, vifo visivo na hatia..etc etc pheeew GOD HELP THE NATION.
 
Kumbe kuna utawala wa mabavu unahitaji kukombolewa? Asante nape kwa kutufumbua
 
huyu jamaa si kosa lake kosa lake ni cheo alichopewa kwa kungangania sibola linge baki dc kuhamasisha vyoo vichimbe kulevijijini kuliko now
 
Nape hivi unajua kama ccm wamekutoa MUHANGA?Amka toka ucngizini bro!ndoto unazoota ni aibu tupu!!!!!!!!!!!!!!
 
NAPE kweli ni vuvuzela lisilokuwa na maana,likiplizwa linatoa mlio usio na mashiko maskionu.Hajui kuwa huu si wakati wa CHAMA CHENYE MAGAMBA. Huu ni muda wa mapinduzi,asome alama za nyakati, SIKU ZA CCM ZINAHESABIKA,NAPE NI KUBWA JINGA.
 
Dunia yenyewe haitadum milele iweje ccm itawale milele wakati yeye mwenyewe anaelewafika kuwa mwisho wa ccm umewadia ndio maana anahaha huku na kule na kuwa tungia majina kibao wanao kihama chama hicho kwa lengo la kukiokoa wakati ameshachelewa.
 
Nimemsikia na mimi naamini anakiponza Chama na kumkufuru Mungu. Mungu na Amlaani Nape kwa kudanganyawatu CCM ina umilele. Jazba za majukwaani za kutaka kufuta nyayo za CDM zinampeleka pabaya.
Gari yao CCM ilipata ajali mbaya ambayo na haitengenezeki na tunachokifanya ni kuondoa maiti na majeruhi akiwepo Nape ambaye yuko taabani huku akiongea kwa kuweweseka. GUY YOU NEED MENTAL SURGERY!!! OTHERWISE WE UNADHIHIRISHA UKICHAA NA KUKATA TAMAA.
 
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
maneno yao haya ya kufuru ndio laana kwa chama chao(ccm)........bado hawajalijua hili......
 
Back
Top Bottom