Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 176
Nape ni type ile ile ya viongozi wa CCM na serikali ya JK.Naimani hata hiyo bajeti iliyotolewa na serikali hajaisoma na uwenda hata maana ya bajeti haifahamu kama ilivyo wabunge wengi wa CCM na Mawaziri wa JK,ambao wakati mwingine wanazisoma hizo bajeti walizoandaliwa bila walau kizipitia na kujua nini kilichomo.Kazi yao inabaki kipiga makofi ,kuzomea na kupitisha bajeti yenyewe.Cha muhimu kwao POSHO.MUNGU IBARIKI TANZANIAHuyo dogo sijui akili imezidi kugandiana? unauliza vyanzo vya mapato katika nchi yenye rasilimali kama yetu? hivi huyo nape hajui nchi hii ina utajiri kiasi gani kama viongozi wetu wakionyesha japo chembe ya uzalendo?