Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

Mwaka huu wanalo,sasa gamba anawavua akina nani tena?hii CCM vipande ni zaidi ya mzoga wa ng'ombe huyu kichwa,huyu shingo huyu tumbo,huyu kwato mara huyu mkia,duh! ...wavue baba.
 
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!

Too late Nape.

"PEOPLES POWER"
 
mohamedi, nimeshindwa kuelewa ni kitu gani hasa kimempeleka Nape Missenyi? Kwenye michuzi anaonekana akiongea na wanahabari huku kukiwa na jeneza la mpigania uhuru karibu. Then picha nyingine anaonekana anacheza golf! What is he doing in Missenyi? Msiba au Golf?

Na kuhusu msiba, kweli CCM au niseme serikali ya CCM imeshindwa kumpeleka mkubwa mmoja kwenye haya maziko ya mpigania uhuru? Kumpeleka Nape ni madharau makubwa kwa marehemu mzee wetu afadhali mara mia wasingepeleka mtu.

Mkuu tusiwaseme sana kwani habari wamekiwsha ipata leo jangwani(CHADEMA SQUARE)
 
Last edited by a moderator:
nilipitia kwenye blog ya MICHUZI na kuona picha mblmbl za nape akiwa kagera lakini sikuona picha hata moja akihutubia mkutano wa hadhara
 
huwa najiuliza HIVI NAPE na mwenyekiti wa CHAMA si mapandikizi wa CHADEMA nadni ya magamba kweli...maana naona kama ni masilent killa kiaina
 
hatimaye nape kiri kuwa ccm inaongozwa na viongozi waliohonga shiling tanotano.
ameyasema hayo akiwa misenyi.
 
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!

Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!
 
Acha hizo, watu tupo siriaz na nchi......em changia mambo ya msingi...

Changia M4C kwa M-Pesa fuata hatua rahisi zifuatazo.
-Piga *150#
-4 lipa bili yako
-1. Ingiza namba ya kampuni (111333)
-Weka namba ya kumbukumbu(Namba yako ya simu ya VODACOM)
-Weka Kiasi (Kiasi cha chini ni 1000)
-Weka namba yako ya siri
-Thibitisha
-Utapokea ujumbe kuwa mchango wako umetumwa CHADEMA.
 
Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!

mmmmmmmh,kumbe ni kweli na baada ya hapo ukaenda kuchaza ghofu,mchezo ambao watanzania wanasema ni mcezo wa matajiri,maana lazima uwe na mfanya kazi wakubebea vifaa vyako

kazi ipo kama ni kweli
 
Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!

nape hauna tabia za uongozi!
 
Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!

nape hauna tabia za uongozi!unaropokaropoka hovyo hovyo,poor you
 
‎'' kama tunalipa wabunge sitting
allowance basi trafiki na walimu
walipwe standing allowance'' said by Dr.Slaa-The President at Jangwani 26/05/2012. Chukua hiyo Nape
 
nape hauna tabia za uongozi!unaropokaropoka hovyo hovyo,poor you

Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!
 
acha hizo, watu tupo siriaz na nchi......em changia mambo ya msingi, na sio kutumia vocha mademu

changia m4c kwa m-pesa fuata hatua rahisi zifuatazo.
-piga *150#
-4 lipa bili yako
-1. Ingiza namba ya kampuni (111333)
-weka namba ya kumbukumbu(namba yako ya simu ya vodacom)
-weka kiasi (kiasi cha chini ni 1000)
-weka namba yako ya siri
-thibitisha
-utapokea ujumbe kuwa mchango wako umetumwa chadema.

mkuu iki chama kinaniuma sana na niko willing kuchangia m4c lakini mie nina tigo pesa hapo inakuwaje??
 
Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!

Nape acha malumbano ya jamvini kaa jipange na kubali kukosolewa mpa sawa kaka, sidhani kama huu ndio ukatibu enezi wako tafadhali tuliza mzuka
 
Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!
Du mfa maji hakosi kutapatapa, ila usijali naona unakipaji kingine cha utunzi wa taarabu(mipasho) hivyo usiwe na wasiwasi muone mzee Yusufu mapema kabla ya kifo cha CCM
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom