Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

Hakyanani ntie mtaifilisi tu ccm. Yaani siredi ya aina hii na wewe umemaliza na unaenda kupata mshiko?
Na kwa kuwa Nape hahakiki siredi na uchangiaji wenu, basi tuhesabu umewasha hapo mwanawane.
 
Nimeona kwenye Tbc1!!duh yaani mpaka aibu!hivi kulikuwa hata na haja ya kutumia kipaza sauti?manake UMATI wenyewe haukuzidi watu 60!,wengi wao ni wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa ccm mitaani,loh!kweli leo ndiyo nimeamini kuwa CCM kwisha kabisa!.

kisaikolojia watanzania tumeathiriwa sana na umati wa watu ndo kigezo cha mikutano mizuri ya kisiasa,jamani hilo siyo kweli liondoke katika vichwa vyetu,mfano nenda pale karatu,ccm itapata mkutano mkubwa kuliko maelezo lakini kutokana na wale wairaqw kuwa juu katika ufahamu wa elimu ya uraia wanajitokeza kwa wingi kusikiliza kile kinachoongelewa baadaye jioni wanakaa katika vikundi kukichambua na baadaye wanafanya conclusion,hii mikutano ni vyema tukaangalia messege na siyo umati wa watu ambao ni kiini macho
 
Asante kwa mawazo yako mwenyewe na sio ya watu Wa Iringa.

Kamwambie anaye toa uongozi wa nchi sio nyinyiemu ni Watanzania.Kamwambie anaye hoji ruzuku inafanya nini aangalie inavyo itesa nyinyiemu kwa kukitanua chadema.Mwambie aliye kutuma nyinyiemu nilini ilitoa ripoirt ya ruzuku
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Si rahisi kiasi unachofikiria,uliona sampuli za watu waliokuwepo na kwa kukisia wanaweza fika wangapi?unaweza tueleza wangapi chadema wamerudisha kadi?"IMANI BILA MATENDO IMEKUFA"uliipata hiyo live.pole ndugu wataachia tu kwani nchi yao hii au wana hati miliki?
 
Hivi mwanaharakati na mwizi yupi afadhali kumpa nchi! Juha atasema afadhali ya mwizi!
 
Jamaa ndo yupo ziarani kwenda mikoa ya kusini? Juzi kati alipita njia hiyo hiyo akahutubia Njombe na Makambako alikuwa na bonge la nyomi.
 
Nape kiboko yenu, kijana mdogo anawahenyesha ile mbaya.

Nasikia Mbeya kimenuka!

Chama cha ccm kinakopi na kupesti kutoka Chama makini Chadema mfano operation sangara/vua gamba vaa gwanda nae Nape na ccm yake wakafuata njia waliyopita Chadema,aibu aibu kwa chama chenye Serikali kufuata midundo ya mpinzani-Chadema.
 
Kamwambie anaye toa uongozi wa nchi sio nyinyiemu ni Watanzania.Kamwambie anaye hoji ruzuku inafanya nini aangalie inavyo itesa nyinyiemu kwa kukitanua chadema.Mwambie aliye kutuma nyinyiemu nilini ilitoa ripoirt ya ruzuku

Tafadhali mkuu mimi sio gamba naomba uufute usemi wako mimi nilimjibu mleta urojo huku jamvini so pls usinifananishe na wauaji
 
Acheni jazba ndugu zangu,mnatakiwa muangalie mnachangia mada iliyotolewa na nani,mtoa mada mwenyewe jina lake tuu linashinikiza mada yake kupigwa chini,sasa mtu anaitwa JIMMY PUMBA mnategemea atatoa mada gani?Si mnaona kawaacha mmekunja uso na wengine mnataka kutemea mate vioo vya mashine zenu,yeye huyooo kasepa hataki hatakutetea uvundo wake,coz kwakawaida uvundo hata uupulizie manukato ya ainagani utabaki kuwa uvundo tuu!!!
 
Vox pop vox Dei.
Cdm sasa hivi ni vox pop,so ni vox Dei no matter what propaganda ccm will use.
Cdm imeingia miongoni mwa wengi including shule za kata na UDOM hadi chuo cha Mwl Nyerere sehemu ambazo ccm walitegemea zingekuwa ngome zao kumbesasa zinakuwa bakora za kuwachapa wenyewe. lol.
 
Unaposema uongo wakati habari yenyewe imeonyeshwa na TV ya CCM TBC1 unajionyesha ulivyopungukiwa hii ni great thinkers forum sio ya propaganda uwe mwangalifu aibu kuwa mwongo mtu mzima

Ni kweli kabisa Mkuu. Nimeangalia ITV na njlichokiona ni maswali ambayo kwa mheshimiwa Nauye yalikuwa hayana majibu. Swali la kwanza aliulizwa utekelezaji wa ahadi mbali mbali za utatuzi wa kero za wananchi kama vile maji na shule.

Kwa watu wanaoielewa mufindi maji na mbao ni vya kumwaga na Mzee huyu alikuwa anauliza Uongozi wa CCM toka ngazi ya wilaya mpaka Taifa uko wapi katika kufanikisha utatuzi huo? akaongeza kuwa kutokana na hilo ndiyo maana Vijana wengi wanaikimbia CCM na CCM Inachukiwa.

Swali la pili aliulizwa kwa nini Nape hasikiki kama ilivyokuwa kwa CDM ilipotembelea Kusini. Ukilitafakari swali hilo kwa makini utaona muuliza swali alichokuwa anauliza ni kuwa majibu ya CCM kwa hoja zilizoibuliwa na CDM wakati wa ziara hiyo yako wapi? Nawasilisha
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe!....... Hebu angalia utumbo uliouandika Jimmy P. Soma hapo palipokozwa rangi nyekundu. Nauliza swali la ufahamu. Ni lini nchi yetu ilianza kumilikiwa (soma kuhodhiwa) na hiki Chama Cha Magamba ambacho miaka ya hivi karibuni kilisemekana kuwa na wanachama miliono 4? (Hesabu hiyo sijazingatia karibu wanachama milioni nzima waliovua gamba na kuvaa kombati). Kama Jimmy P ulitumwa, ulipaswa 'uchanganye na zako' ili kuepuka aibu hii inayokukodolea live. Yaani kila mtu ameshajua kwamba unafikiri kwa kutumia masaburi (soma kiungo nyeti)! Tihi! Tihi! Tihi! Tihi! Tihi! Tihi! Tihi! Tihi! Tihiiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom