Nape awapiga vijembe CHADEMA

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
[h=6]Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.[/h]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kupokea Ujumbe wa Wafanyabiashara Maarufu kutoka Chama rafiki cha ANC (African National Congress) cha Afrika ya Kusini. Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 25/03/2012 na kurejea Afrika Kusini tarehe 29/03/2012....
By: Nape Moses Nnauye (Face Book)
 
...Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 25/03/2012 na kurejea Afrika Kusini tarehe 29/03/2012....
Ningependa wakae kidogo walau hadi tarehe 03/04/2012 ili wasikilize na matokeo ya uchaguzi Arumeru wakasimulie.
 
Sishangai badala ya kujifunza kujitegemea ccm wanazidi kuwa tegemea wafadhili wa nje!majuzi uvccm ili laani kijana ANC
 
Nyie endeleeni tu na michango badala yakuweka miradi endelevu ya kukiendesha chama. Mnategemea mtawachangisha watanzania mpaka lini ? ibueni miradi !
 
ANC ni chama cha siasa nchini Afrika ya Kusini na sio chama cha wafanyabaishara. Ni kwa nini CCM iamue kualika wafanyabiashara 'maarafu' ndani ya chama cha siasa na sio watu wengine? Kwanini kwa mfano wasingeialika kamati kuu ya ANC au hata viongozi wa chama wa majimbo (Provinces)? Why ni wafanyabiashara?

Pili, ni wafanyabiashara 'maarafu' kwa lipi? Maarafu kwa kununua Tanzaniate na kusema inatoka kwa Madiba? Maarufu kwa kuwekeza kwenye Net Group Solution? Umaarufu wao hao wafanyabiashara unatokana na nini?

Pengine Nape analeta mzaha kwenye hili lakini he may live to regret it. Serikali ya ccm in kashfa lundo za kuuza nchi kwa 'wafanayabiashara wa Afrika ya kusini'.

Wenzao CHADEMA wameamua kuomba michango ya watanzania bila kujali ni mama ntilie au msukuma mkokotini. Lakini CCM wanaona dawa ni kuita wafanyabiashara toka Afrika kusini! Kuna kipande gani cha nchi hawajakiuza sasa wanataka kukipiga bei?
 
Yaap, kama lile jengo refu la UVCCM pale Morogoro Rd/Lumumba ambapo UVCCM itaachiwa miaka kadhaa ijayo baada ya jengo kuchakaa

Nyie ya kwenu ipo wapi ? hata ofisi yenu makao makuu ni kama kibanda cha ulinzi
 
ANC ni chama cha wafanyabiashara.......
Copied!
[h=6]Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.[/h]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kupokea Ujumbe wa Wafanyabiashara Maarufu kutoka Chama rafiki cha ANC (African National Congress) cha Afrika ya Kusini. Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 25/03/2012 na kurejea Afrika Kusini tarehe 29/03/2012....
By: Nape Moses Nnauye (Face Book)
 
Wakuu, hata ANC nao uungwaji wao mkono umeanza kushuka. Na wananchi wameanza kuchagua vyama pinzani. Ukiwa Afrika kusini utaona majimbo yaliyo chini ya upinzani kama Western Cape yana ongozwa vizuri na kutokuwa na rushwa kama majimbo yanayoongozwa na ANC mfano Limpopo anapotoka Malema. Pia mwambieni Nape kuwa hata hao ANC huwa wanatembeza kapu kuomba fedha na mwaka jana waliomba pesa kutoka mashirika ya umma kama TRANSNET pesa kwa ajili ya kuandaa sherehe yao ya kutumiza miaka 100. Zaidi ya hayo ANC wana kashfa za kuchukua michango ya wafanyabiashara wanaopata tenda mbali mbali serikalini.

Pia nani asiyejua CCM huwa wanaomba fedha kwa matajiri tena wengi wao walarushwa na wenye pesa chafu? Kinachowauma Nape na wenzake ni kuwa CHADEMA wameendesha harambee yao kwa ufanisi na kwa uwazi tofauti na CCM ambao huwa wanajificha na kuchukua pesa kutoka kwa wafanabiashara walio na pesa chafu. Mwambieni Nape kuwa Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM ndiye anayeongoza kwa kutembeza kapu nchi za nje hadi anatutia aibu kwa kuomba hata mambo yasiyopaswa kuombwa kwa wafadhili mfano vyandarua. Ila sishangai maneno ya Nape na CCM wenzake maana ni mara chache sana huwa wanashirikisha ubongo kabla ya kutoa matamko.
 
ccm wameuza ardhi kwa makaburu!maeneo ya kisongo/burka ni kama koloni la makaburu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
ANC ni chama cha siasa nchini Afrika ya Kusini na sio chama cha wafanyabaishara. Ni kwa nini CCM iamue kualika wafanyabiashara 'maarafu' ndani ya chama cha siasa na sio watu wengine? Kwanini kwa mfano wasingeialika kamati kuu ya ANC au hata viongozi wa chama wa majimbo (Provinces)? Why ni wafanyabiashara?

Pili, ni wafanyabiashara 'maarafu' kwa lipi? Maarafu kwa kununua Tanzaniate na kusema inatoka kwa Madiba? Maarufu kwa kuwekeza kwenye Net Group Solution? Umaarufu wao hao wafanyabiashara unatokana na nini?

Pengine Nape analeta mzaha kwenye hili lakini he may live to regret it. Serikali ya ccm in kashfa lundo za kuuza nchi kwa 'wafanayabiashara wa Afrika ya kusini'.

Wenzao CHADEMA wameamua kuomba michango ya watanzania bila kujali ni mama ntilie au msukuma mkokotini. Lakini CCM wanaona dawa ni kuita wafanyabiashara toka Afrika kusini! Kuna kipande gani cha nchi hawajakiuza sasa wanataka kukipiga bei?

Acha wivu wa kike, utawekwa n>d>a>n>i upate kila kitu
 
Ukiona ccm inasema ni wafanyabiashara wa chama cha ANC basi utambue kwamba inajaribu kuwaingiza chaka watanzania. Muda si mrefu utawasikia wafanyabiashara hao wamekabidhiwa mashirika ya umma na kujivunia mipesa, ama la utasikia wamemegewa hekari kadhaa za ardhi kwa ajili ya biashara na kumilikishwa kwa miaka 99!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom