Nape awajibu CHADEMA, asema siku saba ni nyingi mno!

Siku ambayo tutaondokana na siasa za umbijani ndio tutapata kupona...we waache walumbane uamuzi wa kila mwananchi ni kura yake hapo 2015

Nakubaliana na wewe, bila shaka mpaka wakati huo kila mmoja atakuwa ameshaamua kura yake apeleke wapi, wakati wa tutumie wakati huu kuchuja kati ya mchele na pumba.
 
Never urgue with a fool you will be a fool too! Kijana kazi ya uenezi imemshinda anatakiwa kujivua gamba yeye mwenyewe.
Hana hoja hana mpangilio wa hoja na sasa namshauri aende morogoro haraka akaangalie upeo wa leo VUa gamba vaa gwanda. Wenzako wanakushangaa nape!!!!!!!!!!!!!!
 
Nape ni miongoni mwa wanaoibomoa CCM kwa kukurupuka na statement zake zisizo na muelekeo. Kujipanga kwa CCM isiwe just kwa kuwafukuza mafisadi tu bali na hawa wadaku kina Nape na wenziwe wanaofikiri uongozi ni majunggu na bwabwaja isio na muelekeo, unapoita waandishi wa habari na kutoa statement bila ya ushahidi ujuwe wananchi wanakusikiliza nao ndio wanaojudge ukweli, wisdom na heshima yako kisiasa. Muono wangu, siasa za vijana kama huyu hazijapevuka kuweza kupewa nafasi muhimu kama hizi. Katika statement zake alfu moja kumi ndio zenye maana, advice ndogo kwa Nape, heshima inalindwa na uwezo mzuri wa kufikiri na hekima juu ya maamuzi, kwa sasa umekosa yote mawili.
 
Hapo sasa. Siasa za Tanzania zinageuka kuwa kama makampuni ya APPLE na SUMSUNG. Claims and counterclaims.
Mimi kama mwananchi wa kawaida nisiyefungamana na itikadi yoyote, ninaomba wapelekane mahakani ili tupate undani wa kilichoko nyuma ya pazia. Hata hivyo, nina wasiwasi kama watapelekana mahakamani kwa vile siasa za Tanzania siyo kama tuzijuavyo sisi wananchi wa kawaida.
 
Duh,nilijua mwigulu ndio hana akili kumbe hata huyu nepi naunye nae hana akili kabisa
 
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
Kuna mtu alisema kuwa kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio.Sasa naanza kupata jibu kama alikosea au yuko sahihi.
 
Hapo ndio chadema inatakiwa kuudhibitishia umma kuwa ni chama makini! Mnyika atembee kwenye kauli zake na kesi ifunguliwe mara moja ili pumba ziwekwe jalalani na mchele uendelee kubaki kwenye sufuria.
 
Waliozoea kusema uongo sasa ni mwisho.
Wananchi tutajua nani ni nai katika kusema ukweli.

Its Nape Vs Dr Slaa/Mnyika

Pambano la raundi tisa.

Kulia kwangu GREEN Corner ni CCM,Kushoto kwangu BLUE/RED corner ni CDM

Ticker tape:
CCM uzoefu wa miaka 36
CDM uzoefu wa miaka 15

CCM wameshinda kwa KO miaka yaote
CDM wanaishia raundi ya pili katika uhai wao

Lets get ready to RUMBLEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!

You have convinsed me to IGNORE you.
 
Kwenye issue ya CDM wamemwandikia Nape(Personal) au kama Katibu wa itikadi wa CCM?:wacko:
 
Issue za malumbano kisiasa zinatolewa matamko kwa kasi lakini inapokuja suala la utekelezaji wa jambo flani ambalo halijakaa vyema utasikia lugha inabadilika MIE SIO MSEMAJI MKUU ila tutakaa kama kamati kuona namna ya kuwaeleza wananchi.
 
Jamani sifa namba moja ya kuwa ccm lazima uwe lunatic au uwe hamnazo kabisaaaa....Kama nape sio wa kumjadili kabisaa
 
Hapo ndio chadema inatakiwa kuudhibitishia umma kuwa ni chama makini! Mnyika atembee kwenye kauli zake na kesi ifunguliwe mara moja ili pumba ziwekwe jalalani na mchele uendelee kubaki kwenye sufuria.

Mkuu Hilo ndio Jambo la msingi na secondary natamani sana Iyo movie wala CDM hawakustahili kumpa dedline Huyu lunateki Kama Wana ushahidi unamfanyia ustaarabu mtu ambaye hajastaarika ni kumpa advantage
 
dar tu serikali ya magamba imeshindwa kupeleka vifaa vya sensa KATA YA BUNJU makarani wamekaa wanasubiri madodoso. Na huko mikoani ndo ikoje. haya ndo mambo ya kuita wanahabari cio hiyo hoja ya NAPE.

Mkoa wa Geita zoezi la sensa lilikwama kuanza hapo jana kwa sababu ya uhaba wa madodoso wameanza leo.?
Hii SELEEKWALIII YENU..!
 
Na sasa! Huyu anaongea nini? Kama wao anahisi kuwa Dr Slaa aliwasingizia kuhusu kuingiza silaha nchini si wangekwenda Mahakamani tu? Kwa nini asubiri CDM wamtake aombe radhi ndo na yeye atishie kuwapeleka mahakamani! Yaani watu wengine unaweza kufikiri wamekua kumbe ndo baado watoto kabisa! Yaani yale yale ya enzi zile eti nikusemee umekula sukari naye anajibu na mimi nikusemee ulikula sukari! Kwa nini usiseme siku zote hizo? RA hakukosea kusema amechoshwa na siasa uchwara! Now I got what he meant!

angalieni kitu alichokitoa leo, nani anaendeleza ukabila ccm au cdm hii ni jambo la kusikitisha sana
 
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
Kwahiyo wewe na yeye akili zenu zimefanana!!
 
Nape usishindane na Doctor, huyo siyo level yako kaka, usidanganywe na hao Magamba wenzio, na hiyo kesi itakupoteza ile mbaya hope unawajua vizuri wanasheria wa Chadema!!! Usivimbe kwa kuvimbishwa na wendawazimu wenzako, tumia akili yako na ifanye ifikilie usilopoke tu kama bata anavyoogelea
 
Back
Top Bottom