Nape awachimba mkwara wanaoanza kujipanga kuwania urais 2015. Vua gamba ndiyo imeanza?

Kawaida ya kinyesi ukikitibua lazima kinuke na has a kikiwa kibichi,NAPE ALICHOFANYA NI KUKITIBUA KINYESA SASA KIMEANZA KUNUKA!
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku na nimemshuhudia bwana NAPE akisema atashughulika na wanaoanza kujipanga kwa urais wa 2015 sasa. Amesema wanapoteza muda na kawaasa waache kufanya hivyo. Ni wapiga campaign na wale wanaopigiwa. Katumia lugha ya kigeni hapo”Wanaokubali kuwekewa price tag" vua gamba ndo imeanza au ni bit la dogo? SOURCE ITV.
Ili uwe mwanaccm ni lazima uwe na sifa za kuwa gwiji la fisadi, mshirikina, muuaji, mwongo, na uwe na magamba!!!!!!!!!! Sasa nape asitudanganye na maneno yake yaliyopoteza dira. Atuambie tangu kikao cha kwanza cha ccm kuibua umagamba ni wangapi wamevuliwa magamba??????????? Wao ashukuru tu kwamba wanatawatumia kidikiteta UWT kutawala kiharamu!!!!!!!!!!!!!! Yeye nape ni mwana wa sifa zote hizo ajue tumewajua na Mungu amewawekea akiba siku yao ya kufedheheka na kuaibika wajue hivyo!!!!!!!!!! ccm inavyoongoza nchi hii sasa hivi hata kipofu ameelewa kwamba taifa limetumbukia shimoni na si muda mrefu mtasikia huko wanakotembeza bakuli kwamba nchi imefirisika!!!!!!!!!!!!!!! AIBU CCM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom