Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Simwamini muongo hata kama atasema ukweli. Hapa nashindwa kuelewa kitu kimoja, je ni akinanani waliopendekeza posho kupanda na akinanani wanaopinga posho kupanda. Watu waliopotea njia ni rahisi kubishana ilihali kila mmoja hajui anaelekea wapi na ndio yanayotokea sasa tz. Tunaishi kwa kusomana minds ukibugi kidogo tu wenzio wanapiga bao