Nape atoa msimamo wa CCM dhidi ya posho za wabunge

Kigeugeu Mh!! haya yanatoka kwenye chama chake au ni mtazamo wake binafsi maana anaweza kujifanya anasema hivi kesho akabadilisha kauli kwani si mara ya kwanza kuwa kigeugeu
 
Ilianza hivi,

Katibu Wa Bunge (Hakuna Posho),
Spika Wa Bunge (Posho Ipo Maisha Yamepanda)
Tukasikia Mkuu Wa Kaya Kagoma Kusaini Waraka Wa Posho,
Na Sasa Chama Chao Kinalaani Posho.

Yupi wa kumuamini? Kitakachofuata ni nini?
 
Kigeugeu Mh!! haya yanatoka kwenye chama chake au ni mtazamo wake binafsi maana anaweza kujifanya anasema hivi kesho akabadilisha kauli kwani si mara ya kwanza kuwa kigeugeu

Ndo maana mwisho amesaini kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama , ila huyu jamaa kuwa kama kinyonga hapo ndo huwa namkubali.
 
Ilianza hivi,

Katibu Wa Bunge (Hakuna Posho),
Spika Wa Bunge (Posho Ipo Maisha Yamepanda)
Tukasikia Mkuu Wa Kaya Kagoma Kusaini Waraka Wa Posho,
Na Sasa Chama Chao Kinalaani Posho.

Yupi wa kumuamini? Kitakachofuata ni nini?

kitakacho fuata ni wabunge wa ccm kukaa kikao cha dharura chimwaga ili waipitishe bila kupinga, sijui CUF wao kikao chao watakaa wapi kuwaunga mkono wazee wa kaya.
 
Magamba kwa hela mtawaua,Nape angekuwa na misimamo katika kutekeleza kauli anayoongea labda angeeleweka.ni kigeugeu,hana msimamo,yaani ni kama bendera inavyofuata upepo!any way ngoja tusikilizie.
 
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO? KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!
 
Bravo Nape. Wewe ni miongoni mwa watanzania wachache sana ninaowaheshimu kwa kuwa na msimamo. Najua kuna wanafiki wengi sana humu wanaohoji uzalendo wako.
 
Kigeugeu Mh!! haya yanatoka kwenye chama chake au ni mtazamo wake binafsi maana anaweza kujifanya anasema hivi kesho akabadilisha kauli kwani si mara ya kwanza kuwa kigeugeu

Ni ushauri unaoletwa wakati damage imekwisha tokea, it is a little bit late.
 
Watu bwana kwana kutokukubaliana na ongezeko la posho ndo kuhama chama?Acheni kumwekea Nape maneno ambayo hajatamka.
 
Nape hawazunguuzii wabunge wa ccm tu hata wa chadema na wapinzani wengine waliounga hoja ya kupandisha kiwango wa posho. wabunge wajirudi wamekosea
 
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hili wamekusingizia.

Ninachokuomba kama mwenyekiti wa chama akisaini hizo posho urudi hapa utuambie hili tamko lilikuwa lako na halikuwa na baraka za chama, maana magamba ni vigeugeu sana ninyi.
 
Nape anawapinga akina shibuda wa chadema , selasini wa chadema na wengine wa ccm wenye kiu kubwa ya kuongezwa posho
 
Bravo Nape. Wewe ni miongoni mwa watanzania wachache sana ninaowaheshimu kwa kuwa na msimamo. Najua kuna wanafiki wengi sana humu wanaohoji uzalendo wako.

huo uzalendo wa Nape ni upi?

Kwa watu wa calibre ya nape, hawakusatahili kuwa CCM! Never.

Kama hutaki kuamini hili kajinyonge.
 
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!

Ok wakigoma kuziondoa hizo posho wewe kama kiongozi uliyetoa hili tamko utachukua hatua gani kwa serikali ambayo iko chini ya chama chako , hilo ndo watanzania wanatakam kujua na siyo kusema tuu kwa maneno, watanzania wamechoka na maneno yasiyokuwa na faraja kwao, au ndo utakuja na maneno ya kuwa hata bunge lina kanuni zao za kuamua jambo bila kuingiliwa na chama ??????!!!!
 
Bravo Nape. Wewe ni miongoni mwa watanzania wachache sana ninaowaheshimu kwa kuwa na msimamo. Najua kuna wanafiki wengi sana humu wanaohoji uzalendo wako.
Na wewe nashindwa kukuelewa, kwani aliyepinga posho ni Nape au CCM? kumbukeni Nape ni ofisa habari wa CHAMA kwahiyo anatoa taarifa kwa umma kwa niaba ya chama na hivi ndivyo ninavyofahamu mimi.
Siamini kwamba kila atakaloongea Dr Slaa basi ni kauli yake au msimamo wake, bali huwa anaongea kauli ya chama ambayo inatokana na vikao au maagizo maalum. Hapa mimi bado hamjaniingiza kwenye mkenge huu.
 
Back
Top Bottom