Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Sema tu niko na aleji na TBC sijui hata alikuwa anaongea nini. Karibuni niko natupia Kili Bariiiid. Mdogomdogo mwendo wa kobe na bendi moja ya Bakulutu. Karibuni sana.
Naöna leo kaongea maneno yamenivutia!amepinga ongezeko la posho kuwa linaongeza gap ya wenye nazo na ambao hawana.
Sema tu niko na aleji na TBC sijui hata alikuwa anaongea nini. Karibuni niko natupia Kili Bariiiid. Mdogomdogo mwendo wa kobe na bendi moja ya Bakulutu. Karibuni sana.
... hivi vuvuzela wa chama cha magamba huwa ni nani tena vile ??
Sema tu niko na aleji na TBC sijui hata alikuwa anaongea nini. Karibuni niko natupia Kili Bariiiid. Mdogomdogo mwendo wa kobe na bendi moja ya Bakulutu. Karibuni sana.
kwani ccm wameshafanya uteuzi mngine? ni yule yule wa siku zote mzee wa kunukuliwa vibaya....
ni yuleyule aliyekuwa kwenye comma ya NEC
Nakupongeza Nape kwa kauli yako ya kupinga posho za wabunge. Huo ndio uzalendo bila kujali itikadi za chama chako pampja na kuwa wana ccm wenzako hawatafurahia msimamo wako. Mi siipendi CCM kwa maovu yake, ila wanapofanya jambo jema kama ulilolifanya (nadhani ni msimamo wa chama??????, maana ulikuwa ofisini Lumumba) ni vyema kupongeza mema aliyoyafanya mtu. Nakupongeza kwa hili, hili ni jema kabisa