Nape athibitisha yeye ni chaguo la vijana

huo mkutano ulikuwa wa vijana au vijana wa ccm, maana wanaojiita vijana wa ccm wakati mwingine wana miaka hata 40.

Hivi kwa CCM kijana anatakiwa awe na miaka mingapi maana naona mimi kama vijana kwa CCM hawana ukomo usishangae siku moja unaambiwa katibu wao Mkama eti nae ni kijana
 
Nitamtungia Nape wimbo mzuri sana wenye mahadhi ya majonzi hivi ili auimbe akisindikizwa na gitaa lake pindi 'tutakapokubali kuwa wapinzani'
 
Habari za kuaminika kutoka ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere,uliopo chuo cha Mipango, Dodoma. Ndugu Nape Nnauye alipoingia ukumbini vijana wote walilipuka kwa vifijo na shamra shamra za kumpokea kiongozi wao huyo makini.
Lakini nae Nape kwa uhodari mkubwa akaendelea kukonga mioyo a vijana hao kwa kuwaburudisha kwa kupiga gitaa kwa umahiri mkubwa.

Hakika ni Kijana anayeonyesha njia kwa vijana wengine...!

Anaonyesha njia ya kututajia mafisadi ndani ya chama chake bila kushinikiza chama kiwafukuze?Mafisadi kwa wizi wao wameumiza vijana wengi sana.Vijana walioshangilia ni wanufaika na ufisadi unaofanywa na makada wa CCM ambao nape amewashindwa.Je hiyo ndiyo njia?
 
Mkuu Nape mbona UVCCM walishakanana kuwa wewe sio kijana? HAPO WEWE,SHIGELA NA MFAUME KIZIGO MMEINGIAJE?
 
kati ya viongozi wa ccm wenye unafuu nape ni mmoja wao. Tatizo wanatamtumia bila yeye kujijua na chama alichopo kimeshachina hivyo na yeye anaweza kuchina muda wowote

i think unafuu wake unatokana na kutokuwa kwenye keki, subir apewe uwaziri ageuke Maige. Its hard to know ni msafi or ni lack of opportunity
 
sema vizuri bwana vijana magamba.Unaweza kuniambia vijana makini kwa ustawi wa nchi yao wananunuliwa wakati wa uchaguzi na kupanga foleni za chooni kuchukua rushwa?
kama ni chaguo la vijana hao kazi ipotz
 
Habari za kuaminika kutoka ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere,uliopo chuo cha Mipango, Dodoma. Ndugu Nape Nnauye alipoingia ukumbini vijana wote walilipuka kwa vifijo na shamra shamra za kumpokea kiongozi wao huyo makini.
Lakini nae Nape kwa uhodari mkubwa akaendelea kukonga mioyo a vijana hao kwa kuwaburudisha kwa kupiga gitaa kwa umahiri mkubwa.

Hakika ni Kijana anayeonyesha njia kwa vijana wengine...!

Samahani kaka unazungumzia vijana wapi? ni hawa waganga njaa wa chama chenu? sisi wa mwalimu forum hatumtaki hata kumsikia vuvuzela huyo
 
Habari za kuaminika kutoka ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere,uliopo chuo cha Mipango, Dodoma. Ndugu Nape Nnauye alipoingia ukumbini vijana wote walilipuka kwa vifijo na shamra shamra za kumpokea kiongozi wao huyo makini.
Lakini nae Nape kwa uhodari mkubwa akaendelea kukonga mioyo a vijana hao kwa kuwaburudisha kwa kupiga gitaa kwa umahiri mkubwa.

Hakika ni Kijana anayeonyesha njia kwa vijana wengine...!

Naona Idd yako itakuwa njema kabisa
 
kati ya viongozi wa ccm wenye unafuu nape ni mmoja wao. Tatizo wanatamtumia bila yeye kujijua na chama alichopo kimeshachina hivyo na yeye anaweza kuchina muda wowote
kaniki haing'ai hata ukiifua kwa dawa ya kutoa madoa na ya kung'arishia nguo.
 
Kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni na kwa kifo cha Yesu (mtu mmoja) dhambi msamaha ulipatikana!Nape anaweza kuisafisha CCM!
 
Back
Top Bottom