Nape Atakiwa kufikiri kabla ya kujibu; Gazeti la Dira

KAMBOTA

Senior Member
Mar 21, 2011
176
103
Wanajamvi napitia gazeti la Dira hapa sasa hivi kuna mchambuzi kanifurahisha sana aisee yeye anamtaka Nape Nauye afikiri kabla hajajibu hoja lakini huyu mchambuzi kanifurahisha zaidi anapohoji Nape kapewa na nani mamlaka ya kuwa msemaji wa serikali? halafu huyu mchambuzi anaitaka serikali ijibu hoja za CHADEMA maramoja sio kumwachia Nape ambaye kwa maelezo ya mwandishi amepwaya sana, anaropoka tu....aisee huyu mchambuzi ni noma...teh teh teh!
 
Achaneni naye!
Siku kama 4 zilizopita amekuwa kimya!
Labda amechukua ushauri toka JF!
 
Tatizo lake amekuja kwa kasi sana huyu bwana mdogo:siwezi amia chadema kwa sababu mimi sio mchaga,ni moja ya vitu mbavyo vinamfanya kwa sasa atulie,maswala ya kukurupuka na kutoa kauli za ajabu//////
 
Wanajamvi napitia gazeti la Dira hapa sasa hivi kuna mchambuzi kanifurahisha sana aisee yeye anamtaka Nape Nauye afikiri kabla hajajibu hoja lakini huyu mchambuzi kanifurahisha zaidi anapohoji Nape kapewa na nani mamlaka ya kuwa msemaji wa serikali? halafu huyu mchambuzi anaitaka serikali ijibu hoja za CHADEMA maramoja sio kumwachia Nape ambaye kwa maelezo ya mwandishi amepwaya sana, anaropoka tu....aisee huyu mchambuzi ni noma...teh teh teh!
Nape anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, mnachoona na kusikia ndicho haswa ccm wanaasisi.... Kama hamkipendi basi mjue na ccm haiwapendi
 
Back
Top Bottom