Nape atafuta vijana wa vyuo vikuu ili kushambulia hoja zinazoipinga CCM hapa jamii forum

kizazi kipya

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
327
62
Habari zilizothibitishwa na mmoja wa wanafunzi wa udsm ambaye amewahi kufuatwa na nape zinasema katibu huyo mwenezi ametafuta vijana ambao tayari wameanza kazi rasmi hapa jamii.Kazi yao ni kuleta thread za kumsifia jk na ccm yake na wanalipwa kila mwezi na ccm kwa kazi hiyo.Chanzo cha habari kinadai kuwa killiwahi kufuatwa na nape ili amsaidie kutafuta vijana hao wa kutetea maovu ya ccm lakini alikataa...uthibibitisho wa hili kuna watu hapa jamii wamejiunga kati ya march 2011 na may 2011 na post zao ni either kumtetea jk na ccm yake au kuponda thread zinazoenda against serikali ya ccm.
Tujiandae kuona vijana zaidi wa ccm wakijiunga.Hii ndo ccm inayonuka uvundo.
Source: intelijensia yangu.
 
Asilani abadani uongo hauchangamani na ukweli hata siku moja,waache waje na watakimbia wenyewe
 
Kama wasomi wetu na akili zao timamu wanakubali kununuliwa na wanasiasa wa aina ya NAPE kwa ajili ya kutete uovu na ufisadi unaotendeka ndani ya serikali inayoongozwa na sisiem , basi hii ni dalili ya hatari sana kwa uhai wa taifa letu
 
yaani tunawakaribisha sana...asante nape kwa kuitangaza jf..ninauhakika wanafunzi wa chuo hawa wezi kuiunga mkono labda wanaopata vijisent
 
Hapa ni kwa maGreat thinkers, hao watamudu kweli???
Uzuri wa jf ni kwamba binadam wote ni sawa sasa nawaje watakutana na nguvu ya umma
 
habari zilizothibitishwa na mmoja wa wanafunzi wa udsm ambaye amewahi kufuatwa na nape zinasema katibu huyo mwenezi ametafuta vijana ambao tayari wameanza kazi rasmi hapa jamii.kazi yao ni kuleta thread za kumsifia jk na ccm yake na wanalipwa kila mwezi na ccm kwa kazi hiyo.chanzo cha habari kinadai kuwa killiwahi kufuatwa na nape ili amsaidie kutafuta vijana hao wa kutetea maovu ya ccm lakini alikataa...uthibibitisho wa hili kuna watu hapa jamii wamejiunga kati ya march 2011 na may 2011 na post zao ni either kumtetea jk na ccm yake au kuponda thread zinazoenda against serikali ya ccm.
tujiandae kuona vijana zaidi wa ccm wakijiunga.hii ndo ccm inayonuka uvundo.
Source: Intelijensia yangu.

wamejiunga baada ya kujivua magamba dodoma na huko ndipo jf ilijadiliwa sana. Me nimewashtukia muda mrefu sana hawa mamluki. Tuombe mods wasitupige ban maana hawa jamaa watapata wanachokitaka.
 
Mamluki mbona wapo wengi, thread zao tutakuwa tunazipotezea tu.

TUNAOMBA MTUHABARISHE YANAYOENDELEA TARIME HIVI SASA.....
 
Habari zilizothibitishwa na mmoja wa wanafunzi wa udsm ambaye amewahi kufuatwa na nape zinasema katibu huyo mwenezi ametafuta vijana ambao tayari wameanza kazi rasmi hapa jamii.Kazi yao ni kuleta thread za kumsifia jk na ccm yake na wanalipwa kila mwezi na ccm kwa kazi hiyo.Chanzo cha habari kinadai kuwa killiwahi kufuatwa na nape ili amsaidie kutafuta vijana hao wa kutetea maovu ya ccm lakini alikataa...uthibibitisho wa hili kuna watu hapa jamii wamejiunga kati ya march 2011 na may 2011 na post zao ni either kumtetea jk na ccm yake au kuponda thread zinazoenda against serikali ya ccm.
Tujiandae kuona vijana zaidi wa ccm wakijiunga.Hii ndo ccm inayonuka uvundo.
Source: intelijensia yangu.
Siyo MBAYA ila akumbuke kuwa siku akitibuana nao "kila kitu nje" yatakuwa yale yale ya CCJ
 
wamejiunga baada ya kujivua magamba dodoma na huko ndipo jf ilijadiliwa sana. Me nimewashtukia muda mrefu sana hawa mamluki. Tuombe mods wasitupige ban maana hawa jamaa watapata wanachokitaka.
Mods siku hizi wanaelekea kuachia kila kitu.................. Unapigwa BAN ya maisha lakini ukienda MwanaHAlisi kulalamika tu WANAKUFUNGULIA.................. A.K.A wanakuondolea maleria sugu
 
Waache waje wakutane na wokovu hapa JF. Wale ni kama wenye dhambi kule kwenye dini wanvyoitwa ili waje wasilimishwe ama waokolewe. Tusiwakatae wote ni wa kwetu. Wakija watasoma baadhi wataelimika na kuwa mabalozi wazuri wa JF. Naipenda JF kwa sababu inakubali diversity ya maoni na mawazo. Ila ukikurupuka watu wanakuzodoa kweli wawe tu wavumilivu.
 
Kama wasomi wetu na akili zao timamu wanakubali kununuliwa na wanasiasa wa aina ya NAPE kwa ajili ya kutete uovu na ufisadi unaotendeka ndani ya serikali inayoongozwa na sisiem , basi hii ni dalili ya hatari sana kwa uhai wa taifa letu
mkuuu njaaaaa!
 
Huyu Nape ni nani nchi hii? hizo propaganda tu Asimame akae alale achuchumae afumbe macho afungue ye ni mchafu tu pamoja na wingi viwanda vya sabuni, mwache achimbe kaburi la babu zake. Na kwausaliti alokwishaonesha ataiuza nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom