Nape asusia kikao cha CCM

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
ndugu Nape alitaka kufanya press conference na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC lakini alizuiwa na wakubwa wa CHAMA kuwa hakuna haja hali iliyopelekea Nape kususia kikao cha viongozi wa Chama na habari zaidi nilizopata ni kwamba amerejea Dar mapema zaidi hata kabla ya wenzie kutawanyika.
 
Kwani alitakiwa kutoa taarifa gani muhimu kwa taifa letu? Naaona alivyofanya ni vizuri tu akarudi kwao aongee na familia yake nani anataka kumsikuliza kigeugeu huyo leo anasema hili kesho anageuka anasema vinginevyo. Kama unaakili huwezi kutamani kumsikiliza mtu kama huyo.
 
kikao alichosusia ni cha watendaji wa chama ambacho kimefanyika leo mjini dodoma nawasilisha
 
ndugu Nape alitaka kufanya press conference na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC lakini alizuiwa na wakubwa wa CHAMA kuwa hakuna haja hali iliyopelekea Nape kususia kikao cha viongozi wa Chama na habari zaidi nilizopata ni kwamba amerejea Dar mapema zaidi hata kabla ya wenzie kutawanyika.

atajuta kuikacha CCJ.
 
aliomba afanye mkutano na waandishi aelezee maamuzi yaliyofikiwa na NEC wakamkataza ndio akaamua kutoshiriki kikao cha watendaji wa chama

Duh patamu hapo. Jamaa hasomi alama za nyakati; alizuiwa kwenda Igunga na sasa leo amezuiwa kueneza!! Sijui mwisho wake watamzuia nini sasa. Kama Katibu mwenezi unazuiwa kwenda kueneza sera za chama kwenye uchaguzi basi ujue hapo kuna jambo na jambo lenyewe ni kubwa!
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Nape yeye alijifanya hodari wa kuvua magamba, mambo sasa yamemgeuka anaonekana mpuuzi na anatakiwa aadhibiwe. Kujipeleka kichwa kichwa bila kufahamu kwamba wenzake "hawakukutana barabarani"
 
anasumbuliwa stress kwani anatakiwa kuwasilisha ushahidi kwenye kamati ya maadili kuthibitisha lowassa ni fisadi
:help:
 
Keshazidiwa nguvu na Lowassa mbele za macho ya kila mtanzania.Kurudi itasaidia nini?
Ni bora arudi ccj.
 
Tatizo la kufanya jambo kisha unafikiri badala ya kufikiri kwanza ndo unatenda jambo,huyu dogo alikuwa anauchonga sana hakujua kwamba wanaomtuma walimweka kama vuvuzela tu la kusemea akidhani yuko pamoja nao,Nape anauchonga tu lakini ni empty magazine,siasa ndani ya CCM ni ngumu sana maana hazina wa kumwamini,alikuwa anachombezwa nae akaona amemaliza,mwisho wenzie wakamwambia hawajakutana road,bado hakujifunza kitu,na nilisha wahi kusema Nape hatoshi na alikuwa anajiongopea tu,na sijui anaishi wapi ndani ya hii dunia na sijui yuko chama gani,HIVI NAPE ULITEGEMEA KABISA UKIZUNGUKA NCHI NZIMA NA UKASIMAMA MAJUKWAANI KUSEMA EL NI FISADI ANGETOKA CCM?HAKUNA WA KUMFUKUZA EL NA VJISENTI NDANI YA CCM,Angalia Nape utamwagishwa unga japo unakula ndani ya chama cha kifisadi.
 
Back
Top Bottom