nape asema mafisadi wamepewa barua

bwakea

Member
Jun 5, 2009
45
1
hapa na copy kauli ya nape kwenye wall page- face book


"WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa"


source: Face book (nape - wall page)
 
hapa na copy kauli ya nape kwenye wall page- face book


"WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa"


source: Face book (nape - wall page)

Sasa mbona haandiki kama mtu mwenye authority anaandika kama majungu tu!! Atuambie tu kama wamepewa na siyo kuonyesha kama anazomea vile.
 
Sasa mbona haandiki kama mtu mwenye authority anaandika kama majungu tu!! Atuambie tu kama wamepewa na siyo kuonyesha kama anazomea vile.

Katibu wa uenezi na propaganda ulitemea aandike tofati na hadija kopa??????
 
Nyoka akivua gamba hhuja jjingine jipya,lakini hulivua pia muda wake utakapofika, sishangai hata kidogo,nape ni gamba jipya la chama cha magamba.
 
Kwa utendaji huu wa secretariat mpya inayoongozwa na mkama na nape, bora jana kuliko leo.
 
huyu ni mpuuzi kweli......yaani anapenda majungu na nvijembe vya kijinga kweli..
 
hzo barua sidhani kama zitakuwa na tofauti sana na zile za mapenzi tulizokuwa tukiandikiwa kipindi kile..
 
Tunataka content ya barua, je kama wamepewa za kuhudhuiria kwenye vikao vya kawaida? au hivi huwa hawaitani kwa barua?? Let us be serious....this thing caleed CCM is finished
 
Huko india alikopelekwa kusoma kisomo chenye manufaa hakujamsaidia kitu kheri angebaki hapa hapa!!
 
Nimefungua wall ya Nape kwenye facebook na nimeona alichoandika. Nilidhani huyu aliyepost hapa labda amechukua kipande cha paragraph akatuwekea lakini sio. Hivyo ndivyo Nape alivyoeneza hiyo habari kwa umma! (si ndio katibu mwenezi?). Au tuseme kwamba ndivyo chama cha mapinduzi kilivyo wahabarisha wanachama wake na wananchi kwa ujumla! What a shame!? Eti ndio chama kikongwe! Poor Nape! Poor ccm!
 
hahahhha barua zimendikiwa, zikawa signed , mafisadi wakapelekwa . Aliyesign hizo barua ni Ni nape au Mukama? Mbona anaytaua kusign alisema ndivyo sivyo juzi juzi. Au ni part ya sanaa

Any way time will tell na ni wakti nape aombe idhini ya kufungua facebook au twiter account ya chama chake
 
"WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa"


[/COLOR]

Mkuu aibu ni yao maana tangu wamekaa kikao na kuamua kutoa hizo barua hadi leo sijui alikuwa anasubiri nini! Halafu sijui anawauliza akina nani maana aliyesema kuwa hakutatolewa barua ni Katibu wake! Kama anamlenga yeye si aibu kwao kama chama! Wanazodoana hadharan!

By the way, where is Tambwe Hizza? Is he still working au amekumbwa kwenye tsunami la akina Makamba in the name of Magamba?
 
Back
Top Bottom