Nape, Arumeru mashariki si Igunga

NAPE ni JEMBE ambalo linasambaratisha vichuguu kwa kujiamini anachokipigania,Kamtisha Dr.Slaa hadi kaamua kutogombea.CCM wakishindwa ni uteuzi wakumbeba mtoto wa Sumari tu lakini siyo kisera.
 
Siasa za nchi hii bana. Lakini, nina uhakika kuna watu baadhi ya mistari watairuka.
Nawaomba tu cdm, tufanye siasa za ustaarabu, japo mnaenda kupambana na mtu aliye
tayari kuua hata kijiji kizima ili ashinde.
 
mwenzenu ameshaokoka kwa gwajima,dhambi za kiba kura,kudhamini wahalifu kaacha siku hizi ukimpiga shavu la kulia anakugeuzia kushoto.

tegemeeni uchaguzi wenye uenezi wenye upako.

akikiliuka ungamo nitawasiliana na gwajima.


Gwajima hana dhambi?
 
Sasa wewe Kirojo, hiyo novo si ungeitafutia wachapishaji.

Kweli Kirojo una kiroja.
 
GWAJIMA mbona ndo mzinzi mkuu wa dunia!!? Safi sana MR.KIROJO haya magamba safari hii yataambulia vumbi na kikohozi! NAPE umeisikia hiyo?usije ukasema hukujua.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom