Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

Status
Not open for further replies.
Unaweza kuwa na valid concerns kuhusiana na kofia hizo mbili lakini ukweli ni kwamba masuala hayo yanastahili kujadiliwa ndani ya chama na siyo kuhonga watu na kuendesha mambo kinyemela ili jambo hilo lichomekwe kwa nia ya kutaka kumpandikiza mtu mwenye uchu wa madaraka na roho ya visasi.

Alichosema Nape ni kwamba watu wawe wajasiri kwa kujitokeza hadharani na kuleta hoja hiyo mezani ili ijadiliwe na siyo vinginevyo. Kufanya vinginevyo ni uhaini na unajiuliza kwa nini watu hawa wako huru hadi sasa.
Ila na mimi najiuliza. Kama Nape ana taka hawa watu wawe na ujasiri na kujitokeza kwa nini Nape asiwe na ujasiri na kuwataja hawa waasi? Na kama Nape anataka maswala haya yajadiliwe kichama why is this statement public?
 
Nape ni kijana mwongo asiye na uwezo wa kupima, nadhani anajidanganya sana, muda ni hakimu mzuri
 
Unaweza kuwa na valid concerns kuhusiana na kofia hizo mbili lakini ukweli ni kwamba masuala hayo yanastahili kujadiliwa ndani ya chama na siyo kuhonga watu na kuendesha mambo kinyemela ili jambo hilo lichomekwe kwa nia ya kutaka kumpandikiza mtu mwenye uchu wa madaraka na roho ya visasi.

Alichosema Nape ni kwamba watu wawe wajasiri kwa kujitokeza hadharani na kuleta hoja hiyo mezani ili ijadiliwe na siyo vinginevyo. Kufanya vinginevyo ni uhaini na unajiuliza kwa nini watu hawa wako huru hadi sasa.

Jibu ni kuwa JK anawadekeza mno hawa watu mpaka nayeye anageuka mlalamikaji kama mtu asiyekua na mamlaka ya kikatiba.
 
Yaani katika watu wote wa kuwanukuu Rostam naye ni mtu? Uvumi wa CCJ ambao kwa kiasi kikubwa ulisukumwa na mafisadi hao sasa ni singo iliyochuja. Wala kutaka kuhama hakukuwa na tatizo mradi hakukuwa na mpango wa kuhujumu chama kama hawa wanaotoboa mtumbwi wakiwa ndani yake.

Haya ya kusaidia wapinzani yamekuwepo siku nyingi na sasa haishangazi kuona kwamba hata fedha za kampeni zilizopita Igunga zilitoka kwa hawa hawa kwa nia ya kutaka kuonyesha kwamba bila wao hakuna mafanikio. Ujasiri huu wa Nape ukiigwa na wengine, mafisadi watakuwa hawana maficho tena.

Aliyeanzisha CCJ huku akiwa ndani ya CCM ni sawa kabisa na anayejaribu kutoboa mtumbwi wa ccm ambao wamepanda wote.

Wote hao ni waasi. Nape hana moral authority ya kuwanyoshea kidole magamba makuu, anapiga kelele za bure.

Aliahidi siku 90 lakini hadi sasa ni zaidi ya siku 180 na hakuna dalili za kuwagusa magamba makuu.
 
Nape anatangatanga na kuzusha hoja zisizo na mashiko. Hii ni kutaka kuonesha kuwa naye bado yupo baada ya fedheha kuu aliyopata hivi karibuni ya kudhibitiwa na Rostam.
 
Huyu jamaa anatukera kwann anaropoka tu? Kama anawajua awachukulie hatua au cheo chake hakina kazi? Basi hatuna haja ya kuwa na kiongozi ambaye ni nyoka kibisa ye kuropoka tu, anabore na hastahili kuwa hapo alipo! Upinzani ukiingia ikulu watu kama hawa wauwawe hadharani kwa kuitia hasara nchi.
 
Jibu ni kuwa JK anawadekeza mno hawa watu mpaka nayeye anageuka mlalamikaji kama mtu asiyekua na mamlaka ya kikatiba.

Sio kwamba anawadekeza, mkuu wa kaya jamaa wamemkalia kooni.

Wao ndio walipambana kuhakikisha anakuwa raisi na bila wao asingekuwa raisi.

Hana jinsi lazima alalamike kama raia asiye na mamlaka yoyote.
 
mimi nabisha,amekuwa akiendeshwa na belief than reality within existing society,his isnot know what he know aboutthe context of development within our societies after 50yrs of independence poor ifrastructure,lack of commitment leadership
 
HUo nao ni ujasiri. Mbona hao ambao hawatakiwi bado wanang'ang'aniza kubaki kwenye chama kwa kutumia mabilioni ya walipa kodi maskini?

Nape ni mcheza taarab tu!mbona anafanya press conference wakati anagwaya kama anaubavu ataje mpaka majina!akishindwa hapo basi nitaprove kua kweli ni wa kike.
 
Aliyeanzisha CCJ huku akiwa ndani ya CCM ni sawa kabisa na anayejaribu kutoboa mtumbwi wa ccm ambao wamepanda wote.

Wote hao ni waasi. Nape hana moral authority ya kuwanyoshea kidole magamba makuu, anapiga kelele za bure.

Aliahidi siku 90 lakini hadi sasa ni zaidi ya siku 180 na hakuna dalili za kuwagusa magamba makuu.

safi sana mkuu.
 
jembe la mkono.

miaka 50 bila maendeleo.

nimeona povu tu, hakuna jipya, na kuonesha unafiki, alikuwa hawezi hata kuitizama microphone.

anarembuuuuuuuuua ili tumhurumie

Pipooooooooooooooooooooooz!!

Mkuu kuna watu hawajui majembe kabisa.

Mimi nasema nape hawezi kuwa jembe kwa kiwango cha nafasi yake ya kitaifa. Nape ni kichelema, wanaolima ulezi watanielewa what i'm saying!
 
Jembe ni mwanasheria mkuu WEREMA & waziri wa nishati na madini Ngereja huyo nepi anatapatapa tu.
 
kitendo cha nape kujimilikisha suala la dowans na kujidai kuwa wao ndio waanzilishi kwa kwenda mahakamani ni ujinga
 
NABISHA, Nape bado tena bado. Amesimama kusema hicho akiwa ni Katibu Mwenezi (MSEMAJI) wa CCM, angekuwa ni mwenye kuyasema yaliyo ndani ya chama kabla ya kuwa ni msemaji wa chama, hapo angeitwa JEMBE ningekubali.

Siwezi kushawishika kumuita 'jembe' ilhali anenayo ni ametumwa akisemee chama na si vinginevyo.
 
Nape leo kaongea point sana yaani in short amewachana mafisadi live

Uelewa wako ndogo sana, Nape anaendeleza mpasuko ktk chama i.e membe vs lossawa. Kumbuka yalitokea Arusha chini beno malisa. Kwa hiyo Nape alijibu mashambulzi. Nape kasema, ''nchi ina wenyewe, wenyewe ni ccm''. MALISA kajibu,''taifa hili si mali ya ccm. Ni mali ya watanzania wote.'' Kwa hiyo Nape hana jipya ni mwendelezo wa filamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom