Nape aogopa kutia mguu Arusha

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Update.............
*
yule katibu wa uenezi bwana Nape nauye siku ya leo ameshindwa kuja mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili juu ya kuingilia uhuru wa mahakama kuhusiana na kesi ya uchaguzi ya jimbo la Arusha mjini. Nape ameshindwa kufika na hakimu amesema Nape ameitaarifu mahakama kuwa anaumwa. kesi hiyo imeahiriswa.

Wakuu, hivi karibuni yule katibu mwenezi wa chama kinacho chukua mazoezi ya kuwa chama cha upinzani bwana Nape Nauye, tulitaarifiwa atakuwa na mikutano moshi na Arusha. Lakini hali imekuwa ndivyo sivyo baada ya Nape kufanya mkutano Moshi na kukosa watu waeneo husika na kubaki na watu wake wakubeba toka wilaya za jirani na mji wa moshi.

Nape alitarajiwa kutia miguu Arusha ila hali imekuwa ndivyo sivyo kwa sababu zifuatazo:
1. Tulimweleza nape kabla ya kuja Arusha aje na majibu ya Kagoda, Richmond, Epa, Rada
2. Ahakikishe watuhumiwa wote wamefikisha mahakamani kabla ya kutia miguu yake Arusha.
3. Ahakikishe m/kiti wake wataifa anaingizwa kwenye kesi ya kuhujumu uchumi toka 2005.
4. Ahakikishe serikali yake inatoa umeme siku mbili kabla ya kuingia Arusha bila kukatika.
Nape na serikali ya chama chake walikosa majibu na kuamua kusitisha ziara hiyo Arusha na kuamua kurudi Dodoma, imedhibitika kuwa Nape amekataa kata kata kutia miguu Arusha pamoja na kushinikizwa aje lakini kakataa na kudai Arusha si mnaifahamu? Mimi siwezi kwenda Arusha sasa mpaka hapo nitakapo jiridhisha alisema Nape.
 
Mbona mkuu tulikuwa tayari tu kuhudhuria mkutano haswa angefanyia pale NMC sasa alichoogopa ni nini hasa? Vijana walikuwa wamejipanga vema na kwa hamu kuhudhuria kusikiliza na kuijibu hotuba yake papo hapo uwanjani.
 
tehe!

Angekuja tu, manake tulikuwa tunamsubiri kwa hamu!...lol. Pole Nape!
 
Yaani huyu jamaa huwa saa zingine anaona mbali maana asingeamini ambayo yangemkuta tulimwandalia makarisho mazuri kweli lakini ndiyo hivyo wambea(tiss) wamempa habari
 
Ukimpigia mbwa miluzi mingi kamwe hawezi kupata uelekeo, bora mbayuwayu akili za kuambiwa huchanganya na zake. Kijana is going to perish in politics very soon. Sasa sijui anatumwa na CCM au Masalia, mi kimsingi bado sijamulewa anakotaka kuelekea. Tutaona!
 
ame retreat, anakuja tena muda si mrefu.

Pinda ameahidi mgao wa umeme kupungua sana kama si kwisha kabisa by 31st August, baada ya hapo bila shaka atakuja tu arusha.

Endeleeni tu kujiandaa kumpokea kwa vifijo na nderemo, anakuja kuwapokea rasmi madiwani walioasi na kung'ang'ania vyeo!!
 
alisoma alama za nyakati, kama moshi aliambulia wasafiri wa stand peke yake na mabango juu yakimpinga yeye na ccj yake akajua Arusha itakuwa kichapo!
 
Mbona mkuu tulikuwa tayari tu kuhudhuria mkutano haswa angefanyia pale NMC sasa alichoogopa ni nini hasa? Vijana walikuwa wamejipanga vema na kwa hamu kuhudhuria kusikiliza na kuijibu hotuba yake papo hapo uwanjani.
Mkuu,
Eneo hilo ni [WCC]West Coast Camp, na mara zote wanamagamba wanahofia sana kufanyia mikutano hapo, maana wanajua watashindwa kuwadhibiti vijana wa kazi wa Ngaleloo!...Kwao ni uwanja wa Sheikh Amri Abeid, maana wakimwaga polisi mule watu wote wanawekwa kati!.
 
Hao ndio CHADEMA, jioneeni wenyewe wanayoyaandika!

CDM hawachoki siasa za uchwara. Nape kwani aliwapa ratiba ya ziara yake???? Msipende kudandia yasiyowahusu, malizeni mgogoro na madiwani wenu ambao wameapa hawatathubutu kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu yenu kupitia barua ya Dr. Slaa. Aibu imewakuta madiwani wenu kutamka mbele ya wandishi wa habari kuwa KAMWE hawatishiki na barua toka taifani wao wanaangalia maslahi ya wapiga kura wao.
 
Nothing new here!!
 
Nape, NApe? Hamna kazi ya kufanya? Bangi zenu zimewasababishia mfikiri kwa kamasi badala ya ubongo, na atakuja arusha sasa tuone kati CCM na hiyo NGO nani mwenye nchi. Uwendawazimu huu umenichefua sana. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkamia mtanzania mwenzake hata hujajua anakuja kuongea nini
 
Taratibu ndugu!
Heri yako wewe unayetumia ubongo kufikiri. We ndo Nape au?? Nape ni mtz mwenzako wewe!
 
Mkuu,
Eneo hilo ni [WCC]West Coast Camp, na mara zote wanamagamba wanahofia sana kufanyia mikutano hapo, maana wanajua watashindwa kuwadhibiti vijana wa kazi wa Ngaleloo!...Kwao ni uwanja wa Sheikh Amri Abeid, maana wakimwaga polisi mule watu wote wanawekwa kati!.

Nilisubiri sana nisikie magari ya matangazo sikusikia kabisa nikajua labda amekutana tu na kamati ya UVCCM Mkoa indoor. Pale NMC ni patamu sana tungezunguka uwanja then tum discipline kwa pamoja na hata wangepiga mabomu njia pale za kutokea ni nyingi sana.
 
Back
Top Bottom