ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 268
Leo ktk mdahalo wa kumuenzi Mwl JK nyerere inayoendeshwa na Dr Mkumbo...Amekubaliana na maoni ya Dr Lwaitama ambaye alitamka kuwa CCM ijiandae kuwa chama makini cha upinzani... pia Nape kamekiri kuwa kuwa kuna mzee amempa ushauri wa kuwaasi wazee wanaotaka kuwatumia vijana kwa lengo la kujipatia madaraka...My take...kwa mtu yeyote anaefuatilia mdahalo unaoendelea utabaini kuwa Nape anatumia wajibu wake kikamilifu kuhakikisha kuwa CCM inakufa bila ya kuleta madhara makubwa kwa wananchi...