Nape anafuta nyayo za CHADEMA kusini, atafanikiwa?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Nape Ziarani Njombe

njombe.jpg
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na kukiimarisha katika wilaya mbali mbali mkoani humo. Kufuatia ziara hiyo Nape leo amewasili mjini Mafinga katika wilaya ya Mufindi kuanza ziara hiyo, Katika picha juu .Katibu Mwenezi wilaya ya Mafinga Daudi Yassin akimtambulisha Nape kwa wenyeji

(Picha zote na Bashir Nkoromo)
njombe1.jpg
Wanachama wa wapenzi wa CCM wakimsubiri Nape kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi, mjini Mafinga
njombe3.jpg

Nape akisalimia wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Njombe, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya Mafinga wilayani Mufindi
 
Kwa kuwa kuona ni kuamini, ngojeni akaamini kuwa ccm maziganyanza!!!!!
 
ha ha ha ,Nape,jana kanichekesha sana,eti alikuwa mafinga maeneo ya stand anapandisha bendera ya ccm,huku akiwa na watu wasiozidi hata 10.kweli kazi anayo,kusini ile c ya ss!
 
Endeleza mapambano Nape...nguvu ya chama ni vikao na mikutano...mimi nilikuwepo uwanjani jana..mafinga ilizizimaaa...
 
Ni aibu kwa chama tawala kufuata nyayo za chama cha upinzani. Huyu dogo ataua hiki chama 150% anaiga mkakati wa wenyewe isitoshe yuko peke yake nobody is supporting him. He will not deliver. MTAONA!!!
 
Nyie hamjamwelewa huyu jamaa.
Anachokifanya ni kusaka mkwanja fasta fasta ili chama kitakapokufa, awe yuko fit.
Wala hafanyi kwa mslahi ya chama wala nini. Akipata hata watu wawili kwake yeye poa tu.
Mimi nampa big up sana huyu jombaa.
 
Hivi per diem yake inasainiwa na nani? usikute mshikaji ndo sole signatory. anapanga safari zake kivyake vyake!
kuna kiongozi wa chama anapima performance yake kweli!
Anyway, wacha abonyeze ki zenji, kama jamaa zake wamechapa usingizi atawasaidiaje!
Kaka Napi endelea kueneza na kujaza tumbo, tuko pamoja mkuu.
 
Anakwambia hata akibaki peke yake CHAMA CHA MAGAMBA hakitakufa, huyu jamaa anatafuta cha kuja kujitetea.
 
Nape Ziarani Njombe

njombe.jpg
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na kukiimarisha katika wilaya mbali mbali mkoani humo. Kufuatia ziara hiyo Nape leo amewasili mjini Mafinga katika wilaya ya Mufindi kuanza ziara hiyo, Katika picha juu .Katibu Mwenezi wilaya ya Mafinga Daudi Yassin akimtambulisha Nape kwa wenyeji

(Picha zote na Bashir Nkoromo)
njombe1.jpg
Wanachama wa wapenzi wa CCM wakimsubiri Nape kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi, mjini Mafinga
njombe3.jpg

Nape akisalimia wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Njombe, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya Mafinga wilayani Mufindi

C.c.m wana dola,wana kila kitu,wanachotakiwa kufanya ni ku deliver tu ndio wataeleweka!hizi porojo za wao kugeuka kwenye majukwaa na kuwajibu wapinzani kama wao ndio wapinzani wakati ni watawala,ilo watawapumbaza mbumbu wachache wasio na uwezo wa kufikiri
 
Hivi per diem yake ni sh. ngapi? Atawahi kweli kujenga hekalu msasani au baba yake alikwishamaliza hiyo kazi?
 
Ujinga tu na kutambulishana kiushamba mtindo wa kizamani wa kuwanyanyapaa wenzako eti hadi mjipange mstari na smile ya kishetani uongo mtupu na wizi. Na ukisimama jukwaani ongea nini mmekifanya na siyo kuleta story za ukanda kama Wilson Mkoma wa akili.
 
Mbona mnaumia sana! Nape endelea hivyo hivyo kuimarisha chama kwani CCM sasa hivi wanachama wake wako na chaguzi hivyo kwa wewe kuendelea kutembelea sehemu mbalimbali naunga mkono 100% kwani CCM ndio chama tawala.Nape oyeee,CCM oyeee!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom