Nape ampiga kijembe PINDA ........ taifa limejaa mipasho

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
867
219
Kauli ya Nape kutetea watoto wa viongozi kupewa vyeo au kubebwe ni kijembe kwa Pinda yakwamba mbona na yeye kapewa
hapo chini ni alichosema nape kwenye post yenye link kwa chini kabisa


Nnauye Jr






icon1.png
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi​

https://www.jamiiforums.com/jamii-p...-jfk-aiport-wanakimbilia-dar.html#post2757423

 
nilipania kuchangia hapa lakini nasikitika kusema kwamba nimeshindwa kufanya ivo kwa kuwa nimeshindwa kumuelewa mleta thread....!i'm sorry.
 
Yaani anamaanisha kuwa Nape hakubaliani na kauli ya PINDA kuhusu watoto wa wakubwa (Viongozi a.k.a Vigogo au mafisadi) kugawiwa vyeo.

Ila hapo juu Nape kaongea kimipasho zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom