Nape ampa salamu Mnyika kwa uteuzi !

kumbe CDM wasikivu eeeh manake ni juzi tu tumepiga kelele humu jamvini kuhusu kudorora kwa Idar ya Uenezi CDM kwamba imekufa. Wasikilize na mengine pia kama vile kumuunga mkono ZZK kuhusu kususia miposho.Uteuzi huu unaonyesh kwamba CDM wako determined kuwaachia vijana madraka kama walivyofany akina Mzee Mtei na Bob Makani. Pale juu yaani Ukatibu mkuu ama uenyekiti waruhusu vijana wachukue nafasi mojawapo!

cdm wapo makini sasa .....
kwanza viongozi wake wengi ni vijana
pale juu hapana shida maana kwanza wazee ni wachache
 
Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!

My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama

Mkuu ni kweli huu ni uungwana lakini picha ya haraka kwa wanaojua sheria za ushindani watakubaliana na mimi kuwa hii ni lugha ya kutaka mashambulizi yasiwe makali kwako.

Nakumbuka wakati nikiwa mdogo tukicheza mpira wa mchangani (chandimu) kulikuwa na watu walikuwa wakija na daruga 'njum' kabla ya mchezo tunaambiana mwenye njum azivue ili asituumize vinginevyo hatuchezi. Ninaamini pongezi za Nape zimetoka moyoni na sina uhalali wa kuuliza motive yake ila katika siasa naweza sema zinakidhi haja ya kutaka mwenye njum avue.

Katika kipindi hiki ambacho Nape amefungwa spidi gavana na tycoons wa CCM (Baada ya kikao kilichopita na kujikuta akifungwa mdomo katika dhana ya KUJIVUA GAMBA) ni dhahiri mawazo yake kama kijana yamekuwa scrambled na kuwa mfuata maelezo ya wazee juu ya nini cha kusema kwenye Public atakuwa anamuona Mnyika kama mchezaji mwenye nafasi nzuri sana ya kumfunga magori kwa uhuru alio nao. Njia pekee ni kumlobby asielekeze mashambulizi mazito kwake ili yeye kama Nape asionekane mchezaji aliyechuja.
 
ndio tunacokiongelea hapa kuwa sasa ni wakati wa kubadilika,siasa sio simba na yanga watu kushindwa kuvaa alama nyekundu kwa ushabiki,tuache siasa iwe ni njia ya kutuletea mapatano na sio ugomvi

nape anajaribu kuja sasa na kulielewa hilo,so anapofanya vyema nampa heko yake,kama wewe hutaki huwezi kulazimishwa ,na sipo hapa kukulazimisha kwani kila mtu ana maono yake mkuu,sina chama ila ktk kweli nasema ndio ktk longolongo nasema hapana
Mwambie Nape aanzie arusha!
 
We Jesuit acha utani inaelekea unashadikizwa na ufurukutwa!
1. Mbowe ana Ana post g diploma na alikuwa anajiendeleza kupata d
2. Lema ana Diploma na bado ana nia ya kujiendeleza (hata Sumaye alikuwa waziri akiwa na diiploma!)
3. Mnyika alikuwa akisomea Degree chuo kikuu cha DSM
4. Sugu kafika Form Six

SASA JE HAO NI VIJANA WA VIJIWENI??????????? Tena SISIEM wamejaaa la 7 wengi tu!
Kweli mzee! ukitaka upate CV zaidi za wanaccm mtafute Kainerugaba Msemakweli.
 
kumbe CDM wasikivu eeeh manake ni juzi tu tumepiga kelele humu jamvini kuhusu kudorora kwa Idar ya Uenezi CDM kwamba imekufa. Wasikilize na mengine pia kama vile kumuunga mkono ZZK kuhusu kususia miposho.Uteuzi huu unaonyesh kwamba CDM wako determined kuwaachia vijana madraka kama walivyofany akina Mzee Mtei na Bob Makani. Pale juu yaani Ukatibu mkuu ama uenyekiti waruhusu vijana wachukue nafasi mojawapo!

Hivi msimamo wa Mnyika kuhusu posho ukoje?hebu nijuze nataka kumgonga mahali kutegemeana na msimamo wake kuhusu utakavyokuwa!
 
[h=6]Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!
[/h]My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama

nape ana akili kidooogo,lakini wewe mtoa mada ni zuzu la kutupwa huwa una andika mashudu tupu humu kwenye jukwaa la magreat thinker.
 
Back
Top Bottom