Nape amfananisha na punda mbunge wa Iringa mjini (Peter Msigwa)

hivi nape ana IQ ya ngapi?hivi hakuna kijana mwingine ambaye anaweza kuchukua mikoba ya huyu mtu?....

Kwa ccm huyu ndiye the brightest akifuatiwa na Mwigulu Nchemba maarufu kama anavyopenda kujiita "the first class economist".
 
Mnalipa na mtalipa gharama ya makosa mliyofanya........kwenu hamjali chaguo la umma zaidi ya hela na kujuana na ndicho kinachowaangusha
 
Inahitajika akili kama ya mwendawazimu ili uisemee sisiem, na ndio anachofanya Nepi! anafanya kazi ya kupaka rangi upepo! Haamini anachokihubiri... Masikini, ishara zote za kazi bure anayoifanya zipo wazi lkn afanyaje...Kukaa kimya nako ni busara. Angekaa kimya jamii ingemuona wa maana kidogo, lkn ss anauanika upuuzi wake...Salalee....
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa

Huyu dogo kwa mitusi ame graduate,dah,ndo kazi inayomweka mjini hyo ya kutukana watu! Kweli Nyinyiem kazi ipo
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa

kwa taarifa yake punda ana IQ kubwa mara nne ya ng'ombe,hivyo kwa kufananisha ccm na ng'ombe ameonesha jins gani cdm ipo juu mara nne ya ccm
 
Kwakuwa Nyinyiem wame2fanya Tanzania kuonekana kama Pundamilia Wa Serengeti Mbele ya Wazungu ndo wanamlinganisha Mchungaji na Punda?.....kwahiyo Sisi (watanzania)Mizigo?.....
 
Nimeangalia umati wa watu kwenye mkutano wa nape,nimecheka sana,yaani hata mimi nimemzidi maana nilipokuwa mdogo siku moja nilikanyaga kinyesi,nikalia sana,watu walijaa kuliko ule umati wa nape.Nape anaita wengine kuwa ni punda,yeye ndo punda wa ccm,alijidanganya kuwa amesaidia sana kukijenga chama pale ubungo,mwishowe akasimamishwa ng'umbi,nape nje.Sasa anajiaminisha kwamba anakijenga chama na kwamba ikitokea muujiza wa mwenyezi Mungu ccm iendelee kutawala(something which is quite impossible)na yeye atakuwa somebody,namwambia ataendelea kuwa punda tu,maana sifa ya punda ni kubeba mzigo asioutumia.Mchungaji msigwa amebeba mzigo anaoutumia. Nani punda kati yake na nape.
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa
Huu ni Unabii alio jinabiia yeye mwenyewe Nape, Maana 2015 Magamba watamuondoa hapo alipo! Nyie shikeni hili niliosema na 2015 mtaona Unabii huu watokea kwa Nape. Chadema Oyeee! Zisidume Fikira za Wana Magamba!
 
Mbona ccm walikwisha wafanya watanzania wote punda wa kuwabebea mizigo huyo msigwa angeponea wapi? Labda sasa punda anaanza kurusha mateke na mizigo inasambaa ovyo.Itakuwa mateso.
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa
Tatizo la Nape anaongea kama hajaenda shule,jamani jf mwenye CV ya nape ailete jamvini haraka.
 
Back
Top Bottom