Nape alinunua kadi za CHADEMA

Is posible mambo mengi ya ovyo hufanywa na baadhi ya viongozi na wanachama na wapenzi wa ccm. But kwa faida gani? na nani anadanganywa? Nape na CCM wamejimaliza wenyewe kwa kutumia mbinu za kijinga na zinazo kosa tija. Nani asie jua kuwa ccm inalazimisha watu waamini kuwa ipo wakati ilishakufa bado kuzikwa 2

Umesema kweli Ndugu yangu, Siasa za gilba hazina nafasi kwenye karne hii, ama ndiyo maandalizi ya kuiba kura? ama ndiyo mbinu za kutumia fedha za serikali kwa shughuli za chama?
hata hivyo nilikerwa sana kwa viongozi wa serikali yetu ambao wanalipwa mshahara kwa kodi zetu kupangana pale wakipayuka kama mabweha, wakikitukana CDM na wanachama wake, ilhali wanatumia kodi zetu kwa sababu tuu wameshindwa kutofautisha kazi za chama na serikali. kama kuna mafanikio ambayo wao wanadai wameyaleta kwenye nchi hii kwenye mikutano ya CCM siyo mahali pa kuelezea mafanikio ya serikali na kukejeli upinzania, walipaswa waelewe kwamba wanachokisema pale ni kwa niaba ya serikali ambayo ni yetu wote.
Chama kina uongozi wake kuanzia mwenyekiti, katibu na akina nape, iweje mawaziri wawe wasemaji wakuu wa mkutano wa CCM?
aibu sana na inatisha kuona chama kinachojisifu kuwa na uzoefu wa uongozi kuendesha siasa za ghilba. kwa heri CCM na karibu CDM muonyeshe kwamba nchi inaendeshwa kwa taratibu na si Ghilba na utapeli na kejeli.
 
Back
Top Bottom