Nape akubali ccm ni dhaifu

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
attachment.php
:yawn:
 
yaani ukisema Nape ni zaid ya mdhooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooofuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Urooooooooooooooooojoooooooooooooooooooooooooooo
 
ccm ni dhaifu, jk ni dhaifu halikadhalika nape. Nape hana uwezo wa kujitoa kwny hali ya udhaifu alyonayo.
 
Msipomtaja Nape hamlali

kiongozi kukutaja ni muhimu, uwezi kwenda kumuomba mungu akusaidie,na akuepushe na majanga ukaacha kumtaja shetani.kumbuka wewe ni msemaji wa wadhaifu lazima tukutaje,tutakuacha endapo utastafu cheo chochote ndani ya wadhaifu kama tulivyo muacha kiboko yako yusufu makamba
 
kwa maoni yangu nape na chama chake ni maiti iliyobaki najoto wenyewe magamba wakiigusa wanaamini itaamka au bado imezima tu itaamka soon, kwishaaah, nakwamwendo huu nitaenda kujibu hoja za hao mashehe njaa kusini, namimi ni mkusini na pia muislam waache kufuta nyayo zetu.
 
Mi sikutaji ili nilale kwa kukuambia kwamba wewe ccm ni dhaifu mno, tena kwako wewe umeshindwa hata kukidhi matarajio ya wana ccm, Umejiingiza kwenye sihasa za Maji taka kijana ulietakiwa kufikiria zaidi kwa kuona utakuwepo kwenye Game ya sihasa muda mrefu, Ni aibu kwako na kwa ccm yote
Msipomtaja Nape hamlali
 
Back
Top Bottom