NAPE akiwa Mwanza afunguka kuhusu CCM kupoteza mvuto

nape:
Huenda kweli ccm haijapoteza mvuto mbele ya wananchi. Swali langu ni kwako ni kwamba:-
"Wiki zipatazo tatu zilizopita Msekwa [Boss wako] alisema chama kimepoteza mvuto, leo wewe unatutangazia hakijapoteza mvuto, Je, unamjibu yeye au chama chenu kina takwimu tofauti yaani za mwenyekiti na secretarieti?"
Bila kuathiri jibu lako, Nahisi ninyi wenyewe mnajichanganya kwa kutojua mwelekeo wa chama chenu hivyo kuendesha siasa za kubahatisha!!
 
huyu bwana mdogo alishakosa muelekeo ngoja muone uchaguzi ujao atakavyo kimbia ccm kuja kwa wapambanaji
 
HIVI HUYU JAMAA SINIMKUU WA WILAYA GANI SIJUI AU KUMBUKUMBU ZANGU SIYO SAWA Je kama ni ndiyo huko wanapataje huduma yake??Hii nchi!
Sijui nikimbilie wapi ugando ndiyo kabisa,Rwanda Mkono wachuma democrasia hakuna,Burundi huko mito yao inabidi ujaze mgrunedi ulalala nayo uchagoni!!Kulikobaki sifanani nako wataninyanyapaa!!
\
Kwa nchi hii viongozi wote wa CCM na serekali na Rais JK na chama tawala hawako kwa ajiri ya wananchi bali kwa matumbo yao na maslahi yao.Katika nafasi wanazozitumikia hakuna aja ya kufanya lolote bali kwa manufaa yao binafsi au tuseme nafasi zilizopo za viongozi hazina umuhimu wowote kwa wananchi kwani hazitatui matatizo yao.Ni mikoa mingapi kwa muda mrefu ilikua haina wakuu wa mikoa hakukua na tofauti yoyote,au Nape anaweza kutuambia ni lini mara ya mwisho alikua katika nafasi yake ya kazi kama mkuu wa wilaya?
 
Nape my friend, unajitahidi sana kukipigia chapuo chama chako, lkn ukweli kimepoteza mvuto. Ht baba yangu mwenye umri wa miaka 70s hana mpango nacho tena. Kwanza anakerwa na propaganda za udini zinazotumiwa na ccm, ufisadi na uuzaji wa mali za wananchi unaofanywa na chama chako. Sasa km wazee wamechoka, unafikiri kijana km mimi ninataipenda ccm?, we jifariji harafu utaona chama chako kitakavyopigwa mwereka kwenye uchaguzi, ndio utajua hali halisi ilivyo,,,,
 
\
Kwa nchi hii viongozi wote wa CCM na serekali na Rais JK na chama tawala hawako kwa ajiri ya wananchi bali kwa matumbo yao na maslahi yao.Katika nafasi wanazozitumikia hakuna aja ya kufanya lolote bali kwa manufaa yao binafsi au tuseme nafasi zilizopo za viongozi hazina umuhimu wowote kwa wananchi kwani hazitatui matatizo yao.Ni mikoa mingapi kwa muda mrefu ilikua haina wakuu wa mikoa hakukua na tofauti yoyote,au Nape anaweza kutuambia ni lini mara ya mwisho alikua katika nafasi yake ya kazi kama mkuu wa wilaya?
There you are advocate,,! they r there nt for us, bt for their own personal benefits. the only way is to get rid of them all.
 
Nape ni katibu mwenezi wa wanamagamba, mwacheni aeneze uongo wao ipo ck historia itamhukumu!
Kuna kitu anachokitafuta, lazima.......Halafu huyu si ni mkuu wa wilaya? Anafanya sangapi kazi za ukuu wa wilaya?
 
Kichomiz,
UONGO JADI YAKO
Nape usidhani kwamba wote ni watoto kama hao ambao huwa unawahutubia kwenye mikutano yako ya CCM. Unachokifanya Mwanza unapiga ndogondogo ili uhamishiwe Mwanza na ikiwezekana 2015 ugombee ubunge Mwanza. Sidhani kama bado unamvuto kwa wananchi hasa wa Mwanza. Hapa Dar penyewe umechemsha sembuse Mwanza?? Kamuulize BOSI wako MASHA na JK watakupa historia ya Mwanza. Hapa Dar umemkimbia John Mnyika huna ubavu wa kuhimili vishindo vya jembe la Mnyika.?????
 
Nape anapendeza! Hasa akiweka vidole juu kila akiongea

Hivi huyu jamaa kwenye mkono wake wa kushoto ile aliyovaa ni BANGILI AU SHANGA? Au yakhe ni saa ya kishikaji?

Huyu jamaa simwelewi elewi ati. Sijawahi mwona na ndevu hata siku moja! Isije ikawa ni walewale jamaa wanaotaka Katiba mpya iwatambue kuwa nao ni sehemu ya Jamii ya Wadanganyika!
 
Back
Top Bottom