Nape, akili ya kufundishwa ongeza na ya kwako

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Nape amejikuta akitumiwa bila ya yeye kujielewa kwamba anatumiwa.Alikuwa amefumba macho na kuziba masikio kiasi cha kutosikia kauli ya mwenyekiti wake kuwa 'akili ya kufundishwa iongezewe na ile ya kwake'.

Alikuwa anachochewa e.g JK alishawahi kusema kwamba anayo yasema Nape ndo maazimio ya CC leo hii Jk baada ya kumtumia anasema atachukuliwa hatua za nidham kwa kuwachafua mapacha watatu.Nisimalize mjadala pekee, ongezeni na kwenu.
 
Nape amejikuta akitumiwa bila ya yeye kujielewa kwamba anatumiwa.Alikuwa amefumba macho na kuziba masikio kiasi cha kutosikia kauli ya mwenyekiti wake kuwa 'akili ya kufundishwa iongezewe na ile ya kwake'.Alikuwa anachochewa e.g JK alishawahi kusema kwamba anayo yasema nape ndo maazimio ya CC leo hii Jk baada ya kumtumia anasema atachukuliwa hatua za nidham kwa kuwachafua mapacha watatu.Nisimalize mjadala pekee,ongezeni na kwenu
Kuna watu wanasema ametumika kama toilet paper.

Inasikitisha sana,huwa nasubiri nimwone,lakini atakuwa kwenye maombolezo makubwa.

Yani na kazi zote humu kibarua wanataka wamnyang'anye,halafu wamemuonyesha CCM ina wenyewe,yeye alipewa kazi ya kueneza upupu wao na yeye akawa anameza nzima nzima matokeo yake ndo haya...Sijui ndo kuingizwa mjini ama choo cha kike?

Hivi kama kweli aliamini EL na wenzake ni mafisadi na kwa imani hiyo akafanya kazi,ateweza vipi kuendelea na kazi yake hiyo ya kueneza upupu wa magamba na wakati alikubalika na kusikilizwa kidogo baada ya kuahidi kuwawabandua magamba ya kina RACHEL?

Sasa kimengeuka...

Kweli hii nchi haiongozwi na watu serious hata kidogo.
 
Kimengeuka kwelikweli, kama mtu mwenye busara zake anatakiwa kujuwa kuwa sasa hivi kawa kunyata kweli, yaani ntu nzima unajikuta umebakia nkiwa na mbwembwe zoote zile bure kabisa, waswahili husema nyota njema huanza asubuhi bwana wewe, ukinsikiliza kwenye interview hii utaona kama kweli huyu jamaa ni kigogo cha CCM anayeadhimia kusafisha chama. Ntu mwenye akili unatakiwa kuangalia JK katoka wapi?, je kaingiaje Ikulu?, je godfather wake wa kuingia Ikulu ni kina nani hasa, ukiwajua hao then unatakiwa kutowagusa.

Nape nadhani sasa hivi CCM anaiona chungu hasa yaani bora angebakia na ukuu wake wa wilaya tu aliozawadiwa. Ntu makini inatakiwa uwe na roho ya Honey Badger kufanya kazi ya kuisafisha CCM

Hebu nsikilize Nape katika interview yake na Sunday Shomari @ USA
[video=vimeo;31668596]http://vimeo.com/31668596[/video]
 
Last edited by a moderator:
Kimengeuka kwelikweli, kama mtu mwenye busara zake anatakiwa kujuwa kuwa sasa hivi kawa kunyata kweli, yaani ntu nzima unajikuta umebakia nkiwa na mbwembwe zoote zile bure kabisa, waswahili husema nyota njema huanza asubuhi bwana wewe, ukinsikiliza kwenye interview hii utaona kama kweli huyu jamaa ni kigogo cha CCM anayeadhimia kusafisha chama. Ntu mwenye akili unatakiwa kuangalia JK katoka wapi?, je kaingiaje Ikulu?, je godfather wake wa kuingia Ikulu ni kina nani hasa, ukiwajua hao then unatakiwa kutowagusa. Nape nadhani sasa hivi CCM anaiona chungu hasa yaani bora angebakia na ukuu wake wa wilaya tu aliozawadiwa. Ntu makini inatakiwa uwe na roho ya Honey Badger kufanya kazi ya kuisafisha CCMHebu nsikilize Nape katika interview yake na Sunday Shomari @ USA[video=vimeo;31668596]http://vimeo.com/31668596[/video]
uyu dogo "NAPE" natumai hicho pekee ndo alichostahili, kumbuka uchaguzi wa igunga alisikika akimsifia rostam azizi kuwa alifanya makubwa sana uko igunga ivyo asipuuzwe wkt rostam alijiondoa kwa madai ya siasa uchwara hasa za nape, uyu 'NAPE' ni kigeugeu na nawashauri magamba wamuwajibishe, na aibu alonayo sjui vp atatokea adharani na kumwaga upupu wake, ongereni magamba kwa kumuumbua kigeugeu nape, ila wananchi tunawasubili sjui mtatuingia vipi kwani mmedhihirisha msivyo tayari kupambana na ufisadi kt nchi
 
Last edited by a moderator:
Hii formula ya "akili za kuambiwa" + "akili zako" ndio utoe maamuzi hua hai-apply kwa Katibu Mwenezaji kwa kua kipimo kinaonyesha akili zako ni 10%,
Sasa zikija za kuambiwa 90% zinaimeza kabisa zile zake na kujikuta anategemea akili a kushikiwa muda wote
 
Tangu avae viatu vya katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nauye kwa takribani miezi sabaa amekuwa akizunguka mikoani na kutoa kauli ambazo zilikuwa zikiwatibua nyongo baadhi ya wana CCM na hata viongozi wa CCM. Kutokana na kauli zake, Chama Cha Mapinduzi mkoani Shinyanga kilimpiga marufuku kukanyaga mkoani humo na pia naibu waziri wa mambo ya ndani, balozi Hamisi Kagasheki alitoa wito kwa wana CCM na wakazi wa mkoa wa Kagera kutompokea Nape pindi akiwa na ziara mkoani humo.

Kimsingi, Nape ameshiriki sana kuchafua hali ya hewa katika CCM.
Ni kauli gani ulimsikia Nape akiitoa na sasa anaikana/ ni kauli gani Nape aliitoa na sasa ameshindwa kuisimamia? Akiwa Mkoani Pwani alisema, WATUHUMIWA WA UFISADI WAMEPEWA SIKU 90 WAWE WAMEJIONDOA KTK CHAMA. Na akiwa Dodoma majuzi tarehe 23.11.2011, alisikika akivilaumu vyombo vya habari kuwa wana habari walizusha na yeye hakuwahi kusema kuwa watuhumiwa wa ufisadi(RA, EL na AC) wamepewa siku 90.

Wewe kauli gani unaikumbuka!!!!!!
 
Yule kwisha habari yake na hana maisha marefu,mkuu hujaskia matatizo ya presha yameshamuanza?Juzi kati presha ilipanda na akashindwa kuhudhuria mahakamani Arusha,unacheza na ccm nini?!Na soon utamsikia yuko India kwa matibabu.Nape kwishney.
 
Aliwataka vijana wa Mwanza washike ukuta ili awaonyeshe kwamba yeye ni Lijari hata kama anapaka mkhoogho.
 
Yule kwisha habari yake na hana maisha marefu,mkuu hujaskia matatizo ya presha yameshamuanza?Juzi kati presha ilipanda na akashindwa kuhudhuria mahakamani Arusha,unacheza na ccm nini?!Na soon utamsikia yuko India kwa matibabu.Nape kwishney.
 
Yule kwisha habari yake na hana maisha marefu,mkuu hujaskia matatizo ya presha yameshamuanza?Juzi kati presha ilipanda na akashindwa kuhudhuria mahakamani Arusha,unacheza na ccm nini?!Na soon utamsikia yuko India kwa matibabu.Nape kwishney.
 
"Chadema wajiandae, kwani CCM imepata mtu makini mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja zao" Nape Nauye
 
Kwa kweli yule Bwana wengi tulijaribu kumkanya juu ya spidi yake lakini hakuonekana kujali, let him learn the harsh way...:washing:
 
Bujibuji umetumia lugha kali sana ambayo inakuondolea credibility(kama unazo) hata wewe.
 
Waswahili wanamsemo mmoja kuwa mwisho wa dhambi na unafiki ni aibu, nadhani huyu kijana amepata alichostahili kukipata maana humu jf tumepiga kelele sana kumuasa asiicheze ngoma hii kwa kuwa hajui maudhui yake akang'ang'ania sasa sisi tutafanyaje tena
 
yaan mnapoteza muda wenu kumjadili nape? bora tumjadili KADUGUDA WA SIMBA kuliko huyu mapepe
 
Back
Top Bottom