Nape ajibu makombora ya Marando

Anawaambia nini wachaga walioko CCM?
Ana wa alienate Wachaga ndani ya CCM, kweli kabisa. Kwa hiyo tayari kuna wana CCM washaanza kumdharau, na ile heshima yake kwa wale anaowaongoza inapungua, yeye hilo halielewi.
 
Sidhani kama una akili timamu, wewe, nape na tambwe ni haoa haoa tu mafisadi aua zao la mafisadi
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
 
Kwa iyo sisi tusioipenda ccm automatically tunakuwa wachagga! Na akina walioccm ni kutokea arusha ni wachaga pori? Ama kweli Nape umewachukia wachagga! Ebu ngoja tufanye utaratibu wa kuwaondoa wachaga walio ccm,wanyakyusa,wahaya na wengineo ambao kamati kuu ya ccm miaka ya 90 walisema hawatawahi kulitawala taifa!
 
HTML:

Yaa, Hoja za ukabila - bravo
 
Ngugu yangu inaelekea wachagga ni kabila kubwa sana (idadi) nchi hii hata kushinda wasukuma.
 
Nape kaamua kuweka silaha ya CCM hadhrani ya ukabila. haya sasa kasema yeye asingeweza kuingia CDM kwa sababu sio mchaga. Je wachaga walioko CCM inakuaje? Nape umeishiwa kiasi hicho.

Ukubwa wa umbo sio akili, chambueni elimu zao, makuzi na tabia zao ili mjue busara zao. kazi ya urithi utaijua kwa kukosa umakini
 
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu,
marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!

crap crap crap this
 
Ukweli upo wazi maamuzi ndani ya CDM sehemu kubwa inategemea na utashi wa watu wa Kaskazini; UDP imejikita sana Bariadi; NLD chama cha Makaidi kimejichimbia Masasi; UPDP na Dovutwa wana ngome Kisarawe; Peter Mziray utukufu wake upo Same Mashariki. Hata CUF kwa upande wa Tanganyika, wameshika ukanda wa pwani.
Hivyo Nape asilaumiwe kwa mtazamo wake juu ya wachaga na CDM, ushahidi upo wazi nendeni pale makao makuu ya chama chenu, nafasi zote kubwa zimeshikwa na watu wa Moshi. Imekuwa ni kawaida ndani ya CDM kuonekana na aina mbili za wanachama; ASILI (watu wa Kaskazini) na WAKUJA (watu watokao nje ya kanda ya kaskazini).

Natumaini wana CDM wengi mtachukia maneno yangu ingawa rohoni mnajua hiyo ni UHALISIA WA CHAMA chenu. USHAURI wa bure, watu wa Kaskazini walioshika mpini, muwe na mikakati ya makusudi kuhakikisha watu wengine wanashika nafasi za maamuzi kuliko kurithishana madaraka kimahusiano.
 
Kwa hili ina maana ya wazi kabisa kabisa na hili itabidi afanye kazi ya ziada kulikana.

Ninaomba viongozi wa CHADEMA walitumie hili ili kumuanika JANGWANI kijana na kuropoka kwake.

Ina maana CCM haina mtu makini hadi leo. Wote ni wazembe na si makini kuweza KUWAJIBU Chadema hadi alipokuja yeye ndiyo CCM imepata mtu wa kujibizana nao?

Haya ni MATUSI ya wazi kwa viongozi wote waliopo CCM na haswa wakongwe kama akina Malecela, SAS, EL, Kinana, Sumaye nk

Pia ni matusi ya wazi kwa viongozi na wanachama WACHAGA kwani ukishakuwa Mchaga, basi wewe hufai kuwa CCM. Mie ntaendelea kuwashangaa Wachaga wanaolazimisha kuendelea kuwa CCM na huku wameshaambiwa wazi kabisa kuwa huko siyo kwao. Nina imani soon atabadili aseme kuwa "yeye si Mchaga au Msumuka" kama si "Mnyakyusa".

Wee mtoto wee, yatakushinda na utajikuta umeanguka vibaya sana. Hapa kweli unacheza na timu nyingine kabisa iliyowashinda akina Mkapa na ubabe wao, Mwinyi na Umafia wake ndani ya CCM, Kinana na umahiri wake, Lowassa na ukali/umafia wake na King Maker aka RA.....

Wee ni kitoto kidogo sana kushindana na hawa watu. Watakuzodowa sasa hivi na utanuka Gundu hata CCM wenyewe wakuteme...... SIKIO halizidi kichwa babaangu....... Wachaga walisema. NOYAGA.
Pia amedai kwamba Chadema walizoea kuionea CCM kwa sababu hakukuwa na mtu makini anayejua kujibu hoja.............
 
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu,
marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!

Duh!,umesema ccm mpo mkao wa kula!!!?,huu ni ushahidi tosha kuwa kazi yenu ni Kama viwavijeshi inabidi wananchi waendelee kuwaogopa.Halafu hilo la ukabila nnaona unelikenulia meno kweli na akili zako za kuona mwisho wa pua,ukabila!!,siku mambo itakuwa mbaya nntakutafuta mpaka uchochoroni ili uione faida
 
Viongozi wa Kitaifa

free_sk.jpg

Mwenyekiti
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe (50)
Kutoka Hai, Kilimanjaro
freeman@chadema.or.tz

Makamu Mwenyekiti Bara
Mhe. Said Amour Arfi (56)
Kutoka Mpanda, Rukwa
arfi.gif

blank.gif

Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Mhe. Said Issa Mohammed (36)
Kutoka Pemba

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa_sk.jpg

zito_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zitto@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Mhe. Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad_sk.jpg

Wachaga wengi kweli Baangu....... Soma hapa: http://www.chadema.or.tz/uongozi/sekreta.php
Ukweli upo wazi maamuzi ndani ya CDM sehemu kubwa inategemea na utashi wa watu wa Kaskazini; UDP imejikita sana Bariadi; NLD chama cha Makaidi kimejichimbia Masasi; UPDP na Dovutwa wana ngome Kisarawe; Peter Mziray utukufu wake upo Same Mashariki. Hata CUF kwa upande wa Tanganyika, wameshika ukanda wa pwani.
Hivyo Nape asilaumiwe kwa mtazamo wake juu ya wachaga na CDM, ushahidi upo wazi nendeni pale makao makuu ya chama chenu, nafasi zote kubwa zimeshikwa na watu wa Moshi. Imekuwa ni kawaida ndani ya CDM kuonekana na aina mbili za wanachama; ASILI (watu wa Kaskazini) na WAKUJA (watu watokao nje ya kanda ya kaskazini).

Natumaini wana CDM wengi mtachukia maneno yangu ingawa rohoni mnajua hiyo ni UHALISIA WA CHAMA chenu. USHAURI wa bure, watu wa Kaskazini walioshika mpini, muwe na mikakati ya makusudi kuhakikisha watu wengine wanashika nafasi za maamuzi kuliko kurithishana madaraka kimahusiano.
 
Siwaelewi CCM na propaganda yao ya wachaga, hivi hapa nani mwenye sera za kibaguzi!

Hivi wachaga sio watanzania?

Hivi wachaga hawastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii?

Hivi wachaga wangekuwa wote wapo chadema kwa nini chadema haijashinda majimbo mengi au yote Kilimanjaro?

Ni kwa nini wasukuma wa shinyanga ndo wamewapa chadema wabunge wengi sana? au nao ni wachaga?

I couldn't agree more with ccm kuwa mtu anaetoa DIVISIVE COMMENT kama ya Nape kwa wachaga is a hero na ndo mtu makini! hii nchi soon it will plunge into tribal and civil war kama watu kama wakina NAPE NNAUYE wont be stoped and condemned to spare this country with their divisive comment.
 
Huyu dogo ameshapotea maboya, badala ya kukabiliana na uozo ndani ya chama chake sasa anahaha kupambana na Chadema, Chadema ni chama cha watu, kwa maneno mengine anapambana na Mungu... ukipambana na watu maana yake unapambana na Mungu!
 
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
[FONT="[SIZE="4"]Unaposema huyu Nape ni mpambanaji, ni mpambanaji kwa lipi? Kwa uwongo, kwa kuongea, kwa kushindana kuongea au ndio anapambana kukizika chama na kukifutike mbali kabisa katika ramini ya watanzania. Hata Makamba alikuwa na spead hiyo hiyo ya Nape lakini alikwama kutokana na maneno mengi. Haya mashambulizi anayoleta huyu kijana yatakuja kumtokea puani na atakuja kujutia hapo baadaye yatakapo kuwa maswali na mtihani kwake.

Hizi longolongo anazowaeleza watanzania ndio majibu ya bosi wake au ni kauli ya chama? Kwa hiyo mnatuambia ya kuwa katibu mkuu wa CCM Nape Nauye anatumia kodi za watanzania kufanya mikutano kwa ajili ya mshahara wa Dr Slaa na mafuso ya Mboye. Nyinyi CCM mnatania maisha ya watanzania na serikali yenu ya kifisadi. Kama Nape ni mpambanaji kweli tunaomba atujibu kwa nini watanzania ni masikini zaidi ya 85% na wapo chini ya serikali yenu zaidi ya miaka 40. Kumbuka vichwa vilivyopo CDA sio vinafiki kama vya CCM na ndio maana hawana agenda za siri. Mi ninafikiri watanzania wa leo sio wale waliokuwa wanaambiwa zidumu fikra za m/kiti. Tunamsoma tu huyu kijana Nape na tumeshaanza kumwelewa ya kuwa ni mpenda sifa zaidi kuliko serikali yake iliyompa madaraka. Nape badala ya kujibu hoja za watanzania yeye anauliza tena watanzania maswali. Mikutano ya Chadema inaelimisha jamii na inakosoa serikali iliyopo madarakani hii ni kazi nzuri. Hii ngonjera ya Nape haieleweki na inawezekana akwa ni fisadi wa kuogopwa. CCM muelimisheni wananchi wanahitaji majibu sio kulumbana na Chadema.

CHADEMA hatutarudi nyuma tumeshaanza safari tupo na mabegi yetu tunataka madadiliko, tuondokane na huyu mkoloni mweusi. Mambo ya kutuwekea viraka mpaka vya usoni hatutaki.
People'zzzz power.......... na nimpaka kieleweke.:smow:
[/FONT]
[/SIZE]
 
Ni wakumsamehe kwani hajui asemalo. Hivi mbona Nape hapo awali hakuwa Mjinga! Au ndo moja ya sifa ya kuwa kiongozi CCM ni lazima uzipeleke akili zako likizo! Hivi Nape anamwona Marando ni Masawe! Au Profesa Baregu ni Shayo, au Profesa Abdallah Safari ni Mushi! au Zitto Kabwe ni Lyimo! au Dr. wa Ukweli Slaa ni Ngowi! au Wenje ni Chuwa! au Tundu Lisu ni Swai! Amepotoka.

Kama yeye ndo anajiona kwamba anaweza kuzijibu hoja za Chadema kwa hoja dhaifu namna hiyo na kwamba hakuna mwingine CCM anayeweza kufanya kama yeye, basi kumbe CCM ilishakufaga zamani!!!!
 
Viongozi wa Kitaifa

free_sk.jpg

Mwenyekiti
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe (50)
Kutoka Hai, Kilimanjaro
freeman@chadema.or.tz

Makamu Mwenyekiti Bara
Mhe. Said Amour Arfi (56)
Kutoka Mpanda, Rukwa
arfi.gif

blank.gif

Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Mhe. Said Issa Mohammed (36)
Kutoka Pemba

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa_sk.jpg

zito_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zitto@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Mhe. Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad_sk.jpg

Wachaga wengi kweli Baangu....... Soma hapa: Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Hebu tupe ushahidi kwa kuorodhesha sekretariate nzima ya chadema pale makao makuu na makabila yao, unaonekana wewe ndo mkabila sana kwani mtazamo wako upo kwenye ukabila bila kujali other factors, sisi hatuwezi kwenda kuchunguza wakati wewe ndo unao ukweli majina kamili na makabila yao, ulivyo andika hiyo comment yako authoritatively inawezekana umefanya utafiti hivyo tungefurahi kama ungetuthibitishia hiyo propaganda yako,

TRA wamejaa wachaga vile vile, nadhani according to you tunaweza ku conclude kuwa ni ukabila si ndio bwana, fanya utafiti mzee usi generalize huo upuuzi
 
Wadau katika gazeti la mtanzania Nape Nauye (aka..Tambwe Hizza) amejibu makombora ya chadema na amesema kwamba Chadema wanatapatapa kwa sababu sasa amepatikana mtu makini wa kujibu hoja zao.Pia amedai kwamba Chadema walizoea kuionea CCM kwa sababu hakukuwa na mtu makini anayejua kujibu hoja.Ameapa ataendelea kuianika Chadema mpaka pale watanzania watakapotambua ni nani fisadi kati ya CCM na Chadema.
Pia amedai kwamba mshahara wa katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama hauzidi milioni 3 kwa sababu CCM haina mafisadi kama chadema.Amesema pia kwamba hakuwahi kuomba kujiunga chadema eti kwa sababu yeye si mchaga.
Kuna vyombo vingine vya habari Nape amedai leo atazidi kuilipua na kuimaliza kabisa Chadema.............

Nape Songa mbele,you can not stop our work no matter what.Tupo kazini,hakuna mtu wakuendekeza mipasho na malumbano na wala hutatutoa kwenye ajenda.Our Job is to educate Tanzanian ili watuunge mkono katika mapambano yakuwangoa nyie vilaza ili viongozi wetu waanze kuwajibika kwani mmekuwa vikwazo kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom