Nape Aikubali CHADEMA,Ntagazwa apokelewa rasmi

Kwenye ile thread ya kizungu cha Jenerali, iikuwa Kiranja vs Mchuuzi

Kwenye hii thread ya Nape na Chadema, ni Kiranja (tena) vs Mwafrika et al

It seems humu JF kuna watu wao wanapenda ligi tu hata pasipo mashindano. Masindano kama haya hivi mshindi hua anapata nini?

Mods u can take it up to the next level....muwe mnatangaza washindi wa kila thread ili i-make sense...sio mipasho tuuu
 
Weye unampatia huyu dogo kiranga vizuri.

Mimi niliposoma posts zake chache tu, nikamtambua mara moja toka utosini, makalioni hadi kwenye unyayo wake ni mtu wa aina gani. Nimemweka kwenye dustbin. Lakini nachungulia chungulia. Si unajua tena madhara ya uchafu wa dustbin kwa binadamu.

I hear you mkuu,

Unajua mimi mara nyingi huwa namsoma tu Kiranga. Huwa sichangii threads ambazo yuko active kwa vile the guy hatulii kwenye hoja moja. Yeye atazunguka kila mahali, ataingiza lugha zake (btw - the guy is very good kwenye language na kwa hili namvulia kofia) lakini mwisho wa siku inakuwa vigumu kupata logic kwenye anachosema.

Katika hizi thread mbili za Regia, nimeamua kuingilia kati kwa sababu niliona anapotosha kwa makusudi. Sometimes pple like him call for an action (a balancing or correcting) to do something quick. I had to do this na nitaendelea for a while.
 
Kwenye ile thread ya kizungu cha Jenerali, iikuwa Kiranja vs Mchuuzi

Kwenye hii thread ya Nape na Chadema, ni Kiranja (tena) vs Mwafrika et al

It seems humu JF kuna watu wao wanapenda ligi tu hata pasipo mashindano. Masindano kama haya hivi mshindi hua anapata nini?

Mods u can take it up to the next level....muwe mnatangaza washindi wa kila thread ili i-make sense...sio mipasho tuuu

ha ha ha,

Kiranga is okay ...trust me, these forums need Kiranga and more effectively the other way around.

Kwenye ligi kama hizi, mshindi anatiwa kidole (huu ni usemi wa Kiranga mwenyewe)......lol
 
Mwafrika unataka kusema Kiranja huwa anapenda sana hizi ligi kwa kuwa anafurahia sana zawadi ya mshindi au?
 
No no no no no to the hell. I didnt say that. We unatafuta ugomvi bana... kiranga alikuwa anaongelea kuhusu watu kutiwa vidole somewhere hapo juu na kisha akaongelea ushindi wa ccm na blah blah nyingi so ....

Why did you do that ....dayyym. You got me mixed up now but I didnt say that ... yes that what you said no ...no i didnt say that... oh come on ...

Nadhani sasa nijiunge na NN kwenye pateeee yake anayorusha sasa hivi.
 
Tatizo letu wengi tumezoea dogmatism na simplicity za 'us vs them' na messiah syndrome ya wapinzani ndio waokozi.

Bila ya ku face ukweli kwamba CCM imeoza, lakini upinzani haujakomaa.

Sasa akija mtu ambaye hawezi kukubali shallow thinking ya 'us vs them' na kuacha kuabudu vyama kama miungu, anayeweza kuangalia vitu with an independent eye, lazima wengine washangae.

I will not address the cheap shots.
 
hii ingekuwa kweli kama ndicho ungekuwa unafanya hapa. And yes, kama ccm imeoza na upinzani haujakomaa basi watu tusichague upande? tubaki tu kwenye uumbwe fulani au sio?

Sasa akija mtu ambaye hawezi kukubali shallow thinking ya 'us vs them' na kuacha kuabudu vyama kama miungu, anayeweza kuangalia vitu with an independent eye, lazima wengine washangae.

Wewe sio kwamba unapinga na shallow thinking ... wewe unaua upinzani ili ku-maintain status quo ambayo ni ccm

I will not address the cheap shots.

What if you fired the first shot?
 
No no no no no to the hell. I didnt say that. We unatafuta ugomvi bana... kiranga alikuwa anaongelea kuhusu watu kutiwa vidole somewhere hapo juu na kisha akaongelea ushindi wa ccm na blah blah nyingi so ....

Why did you do that ....dayyym. You got me mixed up now but I didnt say that ... yes that what you said no ...no i didnt say that... oh come on ...

Nadhani sasa nijiunge na NN kwenye pateeee yake anayorusha sasa hivi.

hahahahahahhahah
 
Kwa wanaonifuatilia kwa makini watajua kwamba sifagilii chama chochote, kila siku nawasema CCM na wapinzani panapohitajika, sasa hii habari ya kutetea status quo haiwi supported na facts.Najiona kama mmoja wa watu wanao I blast status quo sana tu, tatizo nikiiua CCM kama kwenye link ya juu hapo wala hushtuki, nikiiua CHADEMA ugomvi. Inaonekana una bias.

Na hata kama mtu anaenda kupigia kura CHADEMA hii haina maana akubali upuuzi wowote wa CHADEMA just because ndiyo chama mbadala.Hivi CHADEMA haina feedback mechanism kujua watu wanaofikiri wanasemaje?
 
Kiranga,

Kama kuna only two choices - upinzani v's ccm.
Kisha wewe ukasema kuwa upinzani haufai na hauko tayari kuongoza nchi,
Inamaanisha kwamba, wewe unachagua ccm by default kwa vile ccm ndio mbadala wa upinzani.

Na hata kama mtu anaenda kupigia kura CHADEMA hii haina maana akubali upuuzi wowote wa CHADEMA just because ndiyo chama mbadala.Hivi CHADEMA haina feedback mechanism kujua watu wanaofikiri wanasemaje?

Kama umesoma majibu yangu (siku ile nimeanza kuchangia mada zako) kwa watu waliokuwa wanapondea unachofanya hapa, nilisema kuwa wanasiasa kama Regia wanahitaji mtu kama wewe. I have said it here and I will say it again - JF needs Kiranga, Chadema needs Kiranga, I need you my friend.

Ninapingana tu na wewe hapa ila ninapenda na nitatea kile unachofanya hapa mpaka dk yangu ya mwisho ya kuishi.
 
mnyaturu anawaambia waswahili kuna mnyakyusa anajua sana kiholanzi

And y'all thought I was the contrarian !

Little did you know there is "the contrarian's contrarian" who contradicts even the contrary, without ever being compliant.

contra-cover.jpg
 
Huyu Nape ukija na angle nzuri inaelekea unaweza hata kumtia kidole atiiii...... cha machooo.

Maana alikubali vipi kuvaa hii fulana na kidole akatae kutiwa ?

mimi nilidhani shy-rose pekee ndio ana-crack under pressure kumbe kiranga pia

hapa umebadilika kutoka kiranga na kuwa shy-rose
 
namhurumia sana nappe,chama cha magamba kimeoza,nape huwezi kuwavua magamba chenge,lowasa na rostam wakati jk mwenyewe anawagwaya,watakapoamua kukuvua gamba watakuvua ngozi,kumbuka sakata la mwisho uliacha manyoya ulipokuwa unahoji ubinafsishaji wa jengo la uvccm,
 
Nape anafurahisha wakiomchagua , lakini anauhakika 100% kuwa hawezi kitu juu ya hao jamaa!
Wamekaa kimya wanamtazama anavyobwabwaja!...wakiamua kumshughulikia watatumia 0.00001 ya uwezo wao....mtu chaliiiiiii!
 
Back
Top Bottom